Gracegaby New Member Joined Sep 16, 2022 Posts 1 Reaction score 0 Nov 5, 2022 #1 Nina umri wa miaka 22 ninaehitimu degree ya biashar dsm chuo cha biashara cbe naomba msaada wa kazii yeyote itayonisaidia kujikimu mwenyew
Nina umri wa miaka 22 ninaehitimu degree ya biashar dsm chuo cha biashara cbe naomba msaada wa kazii yeyote itayonisaidia kujikimu mwenyew
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,726 Reaction score 81,766 Nov 5, 2022 #2 Gracegaby said: Nina umri wa miaka 22 ninaehitimu degree ya biashar dsm chuo cha biashara cbe naomba msaada wa kazii yeyote itayonisaidia kujikimu mwenyew Click to expand... Andika information zako vizuri ndo utasaidiwa mfano unaitwa Nani Elimu uzoefu nje ya Taaluma yako mkoa na wilaya uliyopo aina za Kazi unazo weza kuzifanya tofauti na Taaluma yako . Hapa JF ndo intellectuals na Wafanya Biashara wanapopata.
Gracegaby said: Nina umri wa miaka 22 ninaehitimu degree ya biashar dsm chuo cha biashara cbe naomba msaada wa kazii yeyote itayonisaidia kujikimu mwenyew Click to expand... Andika information zako vizuri ndo utasaidiwa mfano unaitwa Nani Elimu uzoefu nje ya Taaluma yako mkoa na wilaya uliyopo aina za Kazi unazo weza kuzifanya tofauti na Taaluma yako . Hapa JF ndo intellectuals na Wafanya Biashara wanapopata.
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 3,506 Reaction score 6,561 Nov 5, 2022 #3 HAYA LAND said: Andika information zako vizuri ndo utasaidiwa mfano unaitwa Nani Elimu uzoefu nje ya Taaluma yako mkoa na wilaya uliyopo aina za Kazi unazo weza kuzifanya tofauti na Taaluma yako . Hapa JF ndo intellectuals na Wafanya Biashara wanapopata. Click to expand... Nakazia
HAYA LAND said: Andika information zako vizuri ndo utasaidiwa mfano unaitwa Nani Elimu uzoefu nje ya Taaluma yako mkoa na wilaya uliyopo aina za Kazi unazo weza kuzifanya tofauti na Taaluma yako . Hapa JF ndo intellectuals na Wafanya Biashara wanapopata. Click to expand... Nakazia
May Day JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 6,367 Reaction score 9,112 Nov 5, 2022 #4 HAYA LAND said: Andika information zako vizuri ndo utasaidiwa mfano unaitwa Nani Elimu uzoefu nje ya Taaluma yako mkoa na wilaya uliyopo aina za Kazi unazo weza kuzifanya tofauti na Taaluma yako . Hapa JF ndo intellectuals na Wafanya Biashara wanapopata. Click to expand... Sio lazima kuweka jina lake halisi. Ila anaweza kutaja sehemu alipo na kama atajitokeza wa kumsaidia basi atapewa taarifa za ziada PM.
HAYA LAND said: Andika information zako vizuri ndo utasaidiwa mfano unaitwa Nani Elimu uzoefu nje ya Taaluma yako mkoa na wilaya uliyopo aina za Kazi unazo weza kuzifanya tofauti na Taaluma yako . Hapa JF ndo intellectuals na Wafanya Biashara wanapopata. Click to expand... Sio lazima kuweka jina lake halisi. Ila anaweza kutaja sehemu alipo na kama atajitokeza wa kumsaidia basi atapewa taarifa za ziada PM.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,726 Reaction score 81,766 Nov 5, 2022 #5 Kazi zimekuwa ngumu unabidi at the first uuandie kitu kitakacho mui-mpress Mtu ili muweze kufanya negotiation naye Watu wenye uchumi mzuri wanafata kanuni na taratibu hivyo ukikosea kujitambulisha hesabu Maumivu. May Day said: Sio lazima kuweka jina lake halisi. Ila anaweza kutaja sehemu alipo na kama atajitokeza wa kumsaidia basi atapewa taarifa za ziada PM. Click to expand...
Kazi zimekuwa ngumu unabidi at the first uuandie kitu kitakacho mui-mpress Mtu ili muweze kufanya negotiation naye Watu wenye uchumi mzuri wanafata kanuni na taratibu hivyo ukikosea kujitambulisha hesabu Maumivu. May Day said: Sio lazima kuweka jina lake halisi. Ila anaweza kutaja sehemu alipo na kama atajitokeza wa kumsaidia basi atapewa taarifa za ziada PM. Click to expand...