Naomba kazi yoyote ile! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kazi yoyote ile!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kachelenga, Sep 11, 2012.

 1. K

  Kachelenga Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  MIMI NI MWANAUME MWENYE UMRI WA MIAKA 42,NAJITOKEZA HAPA KWA WANA JAMII,NATAFUTA KAZI YOYOTE ILE YA KUFANYA,PIA NAPATIKANA KWA EMAIL ADRES IFUATAYO, kachelenga@ovi.com
   
 2. mousthustle

  mousthustle JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2015
  Joined: Mar 18, 2013
  Messages: 292
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 60
  Mkuu vp ulipata kazi?
   
 3. Baraka sheni

  Baraka sheni JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2015
  Joined: Jan 5, 2015
  Messages: 403
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Nami natafuta kazi nina miaka 19 ni dsm elim yangu ni kidato cha nne napatikana kupitia 0659865639
   
 4. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2015
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kweli ajira ngumu.
  miaka 42 mtu anaomba kazi yoyote!
   
 5. Shy land

  Shy land JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2015
  Joined: Jul 28, 2013
  Messages: 5,933
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  utaweza kuja kijiini kwetu nikupe kazi ya kuwa unapalilia tumbaku. mshara laki 4 kwa miezi mitatu.
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2015
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Miaka 42 bado unaomba kazi,asa si unakaribia kustaafu wewe!
   
 7. s

  svoca JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2015
  Joined: Jun 6, 2014
  Messages: 376
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mpeni mtu ushaur utakaomsaidia kama huwez kaa kimya.
   
Loading...