Naomba kazi ya udereva

Naomba kazi ya udereva

airwing

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
425
Reaction score
596
Kwa majina Naitwa Odax Alex,
Jinsia: Mme
Umri:24
Kabila:Haya
Elimu:Form iv
Fani: Dereva
Madaraja: A, A2, B, D ,E
Shule: REGIONNAL VETA Dar, Chang'ombe
Ufaulu: 'A' for 4
22656229_1343774085734861_1078061571_n.jpg
22635390_1343774089068194_1256242180_n.jpg
22627390_1343774092401527_1304539282_n.jpg
subject and 'B' 2 among all 6subjects.
Language: Fluently Swahili and English.

Uzoefu: Miaka 2..
Sivuti Sigara wala Kunywa Pombe
Naishi Dar ilala nipo teyari kufny kaz mkoa wowote na mahali popote ndani ya Tz, iwe personal driver au commercial vehicles.. Blessed 0657 230355 whatsup, calls and texts.. Or email: Kasitaodax@gmail.com
 
Nawashangaa vijana wengi wanapenda kazi ya udereva badala ya ufundi(technician).

Fundi kwa seculars zetu Tanzania analipwa vizuri zaidi ya dereva ingawa udereva wanahitaji vigezo vingi kuliko ufundi.

Halafu udereva ni kazi ya kutumwatumwa sana.
 
Oky mkuu nashukur kwa ushauri wako!!!
 
Kwa majina Naitwa Odax Alex,
Jinsia: Mme
Umri:24
Kabila:Haya
Elimu:Form iv
Fani: Dereva
Madaraja: A, A2, B, D ,E
Shule: REGIONNAL VETA Dar, Chang'ombe
Ufaulu: 'A' for 4View attachment 648372View attachment 648373View attachment 648374 subject and 'B' 2 among all 6subjects.
Language: Fluently Swahili and English.

Uzoefu: Miaka 2..
Sivuti Sigara wala Kunywa Pombe
Naishi Dar ilala nipo teyari kufny kaz mkoa wowote na mahali popote ndani ya Tz, iwe personal driver au commercial vehicles.. Blessed 0657 230355 whatsup, calls and texts.. Or email: Kasitaodax@gmail.com
Airwing nakutakia kila la Kheri...Tafadhali ukipata naomba urejee kutufahamisha kwamba umepata...Jaribu kutuma maombi Azam na Makampuni makubwa kama Bollore nk...Kila la Kheri mkuu.
 
Airwing nakutakia kila la Kheri...Tafadhali ukipata naomba urejee kutufahamisha kwamba umepata...Jaribu kutuma maombi Azam na Makampuni makubwa kama Bollore nk...Kila la Kheri mkuu.
Amina Nashkuru kwa Baraka zako!! Nitajarb kutuma kiongz...
 
Aksanteni wakuu, nilifanikiwa kupata kazi GREENWEST PRO. CO baadae Nika apply SBC Pepsi ambako Nipo mpaka sasa.... !! [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji1666][emoji1666][emoji1666]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao SBC sina hamu nao, walinifanyia interview lakin mpaka Leo hawapigi simu yaan hata tafadhar nipigie tu!!
 
Back
Top Bottom