double click
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 570
- 956
wakubwa shikamoon
Nna mdogo wangu amemaliza chuo cha Veta Morogoro mwaka jana alikuwa anachukua certificate ya electric{umeme} nilikuwa naomba kama kuna m2 ana nafasi amsaidie mdogo wng ili awe anapata uzoefu wa kazi hii yuko tayar kufanya kaz mahali popote na ufaulu wk ni Mzuri.
Km uko tayar ni PM ahsanten