Wewe unajiheshimu ndugu???Nipo hapa Moro kwa kazi ya siku 5 kuanzia leo. Natafuta Kampani ya Binti wa Chuo kwa ajili ya kubadilishana mawazo baada ya saa za kazi. Upweke umenizunguka hapa, hivyo kampani itanisaidia kuona siku 5 kuwa fupi zaidi. Nataka mtu anayejiheshimu sio wale samaki wa bahari Ch....ngu Do..a! If you are really interested share your contacts and let's make it.
Wewe unajiheshimu ndugu???
Kama ni kubadilishana mawazo kwa nini binti wa chuo tu na sio wengine......enewei kwa kukusaidia kwa sasa huwezi kupata maana wapo bize wanajiandaa u.e kwa vyuo vya hapa mjini, kajaribu labda Mzumbe. By the way karibu sana hapa Makuti tupate lager kama ni mtumiaji lakini.Kuhusu kujiheshimu I can guarantee nafanya hivyo. Vinginevyo nisingeweka sharti hilo. Pia kumbuka nimesema nataka kampani ya kubadilishana mawazo sijaenda mbali maana najua wewe ndg uliyeuliza kuhusu kujiheshimu unafikiria 6x6 tuuuu. Ndio tatizo letu sisi watu wa Bara hili (sio wote). Mtu haamini kuwa unaweza mkaongea tu na ikaishia hapo.
Nataka wa Chuo kwa sababu level of REASONING ipo juu. Ningekuwa i'm after x I could jump to any woman but that is not the case. Unfortunately I take juice and mineral water. @@@ KATAVI
Kuhusu kujiheshimu I can guarantee nafanya hivyo. Vinginevyo nisingeweka sharti hilo. Pia kumbuka nimesema nataka kampani ya kubadilishana mawazo sijaenda mbali maana najua wewe ndg uliyeuliza kuhusu kujiheshimu unafikiria 6x6 tuuuu. Ndio tatizo letu sisi watu wa Bara hili (sio wote). Mtu haamini kuwa unaweza mkaongea tu na ikaishia hapo.
Nenda pale Moro By Night watakuwepoNipo hapa Moro kwa kazi ya siku 5 kuanzia leo. Natafuta Kampani ya Binti wa Chuo kwa ajili ya kubadilishana mawazo baada ya saa za kazi. Upweke umenizunguka hapa, hivyo kampani itanisaidia kuona siku 5 kuwa fupi zaidi. Nataka mtu anayejiheshimu sio wale samaki wa bahari Ch....ngu Do..a! If you are really interested share your contacts and let's make it.
Nipo hapa Moro kwa kazi ya siku 5 kuanzia leo. Natafuta Kampani ya Binti wa Chuo kwa ajili ya kubadilishana mawazo baada ya saa za kazi. Upweke umenizunguka hapa, hivyo kampani itanisaidia kuona siku 5 kuwa fupi zaidi. Nataka mtu anayejiheshimu sio wale samaki wa bahari Ch....ngu Do..a! If you are really interested share your contacts and let's make it.