J Joack Member Jul 2, 2012 31 7 Sep 11, 2012 #1 Habari wnana JF, Naomba kama kuna mwanaJF anajua fomular ya kutengeneza/kuchanganya Broiler, Layers, na Chick Mash anisaidie. Nitashukuru sana
Habari wnana JF, Naomba kama kuna mwanaJF anajua fomular ya kutengeneza/kuchanganya Broiler, Layers, na Chick Mash anisaidie. Nitashukuru sana
O Omugurusi Member Aug 14, 2012 30 10 Sep 21, 2012 #2 Mdau formular nilikuwa nayo lakini nimekuta kiwango cha vichanganishio kimefutika na nimebaki na majina tu ya vitu vinavyohitajika. Ebu chukua majina haya wakati najitahidi kutafuta kila kitu kinawekwa kiasi gani: ParazaMtamaNganoPumbaAlizetiPambaDagaaDamuDCPPremixChumviLysineMethonineMifupa
Mdau formular nilikuwa nayo lakini nimekuta kiwango cha vichanganishio kimefutika na nimebaki na majina tu ya vitu vinavyohitajika. Ebu chukua majina haya wakati najitahidi kutafuta kila kitu kinawekwa kiasi gani: ParazaMtamaNganoPumbaAlizetiPambaDagaaDamuDCPPremixChumviLysineMethonineMifupa
Sabayi JF-Expert Member Dec 4, 2010 2,310 991 Sep 21, 2012 #3 Pitia thread ya ufugaji wa kuku wa kisasa kuna wadau wameweka formula kule