Wahenga msaada wa jina la huu wimbo

Wahenga msaada wa jina la huu wimbo

mwekwa ntandu

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
1,435
Reaction score
3,535
Habari wadau,nimehangaika kwa muda mrefu kupata jina la wimbo huu bila mafanikio ni wimbo wa zamani na sehemu ya mashairi yake yanasema "NIMEACHANA NA MUME WANGU NIMEKWENDA KWA REHANI,BAADA YA MUDA REHANI KANIKIMBIA ETI SINA TABIA NZURI. kwa ambaye anaufahamu naomba anitajie jina la wimbo na muimbaji/kundi. nitashukuru nikiupata maana niliipenda melody yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Homa imenizidia mie.mp4
    9.2 MB
Back
Top Bottom