Naomba jibu:::::

Naomba jibu:::::

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
Ni kitu gani kwa mwaka inatokea mara moja, kwa wiki inatokea mara mbili na kwa siku haitokei kabisa???
 
Me ningeumiza kichwa hadi asubuh nisingejua jibu akili zote sijui zimeenda wapi
 
Sasa wewe unauliza swali kiswahili halafu jibu liko kwenye kiingereza???!! Kwa taarifa yako hiyo E haitokei hata mara moja kwenye siku, wiki wala mwaka. Upo hapo?
 
Back
Top Bottom