Mulama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,018
- 1,791
Najua kwa hili wengine watasema ohoo mbona alishasema mke wake anamnyanyasa yeye na mtoto wake, na wengine watasema mbona alisema mpenzi wake alipata mpenzi kwenye mtandao akamsamehe na wako wote!
Hizo zilikuwa porojo tu jamani naomba msizikumbuke kabisa kwakuwa sasa niko serious jamani natafuta mwenza wa maisha kutoka humu jf yaani mshenga wangu ni jf, manake nimeona naweza kuzeeka bila kuvaa pete buure!
Zifuatazo ni sifa za mwenza nimtafutaye:-
1. Awe amekwishatosheka na maisha yaani si mtafutaji tena kwa maana nyingine awe ameshatembea (ku do) na wanaume si chini ya mia na kwamba hata kama ameshatumia hata mitandao yote poa tu.
2. Napendelea sana umbo namba 8, mweusi na usafiri wa nguvu, isipokuwa asiwe na nido.
3. Urefu wa angalau kunifikia begani kwani mimi nina futi sita na robo.
4. Kisomo kama anacho hewara kama hana nitamsomesha mwenyewe.
Mimi sina makuu niko kama ninavyonekana hapo kwenye avatar yangu yaani hiyo ni picha yangu kabisa. Pia niko tayari kuvaa pete ya kutoka rohoni kabisa.
Nb: Walevi, wavutaji na wabwiaji wasijihangaishe kuomba tafadhari.