Naomba experience ya kuishi na mwanamke wa kizungu(from Australia) jamani please naomba sana

Wanapenda dushe, kwa siku anataka apigwe 4x3. Sasa jiangalie uwezo wako bila kumridhisha anakupiga chini.
 
Whatsup guys, jamani mimi ni mwanaume mwenye miaka 26 nimepata mwanamke wa kizungu from Australia ananipenda saana mpaka naogopa na pia ananisaidia saana baadhi ya mambo kama kuna kipindi nilipata financial crisis alinisaidia saana.ananipenda saaana ila kiukweli mimi simpendi kivileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Yeye ana miaka 27 i mean she is real independent woman kiukweli hajawaji jiomba pesa hata siku moja mpaka mimi najishtukia namnunulia vitu ambavyo najua anavipenda saana i cant mention them here iam very sorry

What i ask from you guys ni kwamba experince ya kuishi na hawa watu mbeleni sita kuja kuregret because siwezi kumwacha ananipenda saana napia nimeishi nae mwaka mmoja sasa na sijawahi kumcheat hata siku moja just feeling very guilty kwa the way alivyokuwa ananipenda na kunithamini.

Please naomba ushaurii kutoka kwenu please and please kwa wale wenye wake wazungu na wame wazungu naombaexperince yeni ili nisije kujuta kutokana namaamuzi nilioamua ya kukubali kumuoa nimekuwa nakwepa saana akiniambia ila imebidi nimkubalie twende kwa wazazi wake wako Canada kikazi wanaishi huko Toronto ila ila asili yake ni australia queensland
Kumbe una rasta?
 
Daaa a mkuu utaenda kujitesa bure tu, usioe eti kisa unamuonea huruma kwa jinsi anavyokupenda bali oa Ile kitu roho yako inapenda...

Ila mbona wazungu huwa hawatamanishi wenzangu mnawezaje Kuwa na mahusiano nao?? Mimi nahisi nitamchoka mapema sana mwanamke wa kizungu maana hawana amsha amsha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Lazima umpende rohoni siyo juu juu tu.2 uwe mwepesi kusema I am sorry unapokosea3. Kila unapotoka ni vizuri ukamtaarifu mapema ili kujua unaenda wapi 3. Mwambie unampenda mara kwa mara hata kama mmefunga ndoa miaka kadhaa 4. Mapenzi ya kushikana kwa sana muhogo wa mwisho kabisa akiwa tayari 5. Siku zake za kuzaliwa lazima uandae kabla yeye hajakukumbusha 6. Watoto ni majaaliwa ya mwenyezi mungu mkiwa na bahati mwisho wawili wengine bahati mbaya 7. Mkeo na familia kwanza wengine baadaye 8. Kubali mawazo yake ya kwako baadaye 9. Mengine optional au si muhimu sana. Good luck !

Sent using Jamii Forums mobile app
Muongezee kwamba wakipata watoto siku wakikiachana hana chake. mzungu anachukua chake huyo ulaya
 
Daaa a mkuu utaenda kujitesa bure tu, usioe eti kisa unamuonea huruma kwa jinsi anavyokupenda bali oa Ile kitu roho yako inapenda...

Ila mbona wazungu huwa hawatamanishi wenzangu mnawezaje Kuwa na mahusiano nao?? Mimi nahisi nitamchoka mapema sana mwanamke wa kizungu maana hawana amsha amsha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna wazungu wazuri hatri. Yaani ukimuona wewe mwenyewe unaduaa, alafu sasa niwatalaamu wa yale mambo yetu.
 
Back
Top Bottom