new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 815
- 1,725
Ndio mkuuUlifanikiwa mkuu?
Funguka bei na mengineyo kuhusu portable ACNdio mkuu
Ndio mkuu
Tuambie umepata ipi ma model ipi mkuuFunguka bei na mengineyo kuhusu portable AC
Picha zake tafadhali?Ushauri wangu ni hivi portable ac zipo za design 2 yenye pipe mbili (dual pipe) na pipe moja-single pipe, sasa single pipe ambazo ndo nyingi hapa bongo sio efficient.. kwakua zinatumia baridi la ndan kupoza compressor na kuutoa upepo nje,, so baridi ndan inapotea so na uneme unaenda sana,,angalau yenye pipe 2 ambapo pipe moja inatoa joto la compressor pipe nyingine inavuta hewa ya baridi nje kupoza compressor..
Ukichukua portable ac ya btu 12000 na ukachukua split unit ya same capacity (12000 btu) basi split unit ina perform vizuri kuliko portable..
so ilinibidi niiuze hii portable nkanunua split unit..
Pia portable ac ina kelele nyingi ndani kwakua compressor ipo ndan . Ila split unit ipo silent..
NB; usije changanya portable ac na aircooler
Picha ya kitu ganiPicha zake tafadhali?
Hiyo potable ACPicha ya kitu gani
siyo condenser ?kupoza compressor..
Yes, ni condenser.....siyo condenser ?
Portable ac na aircooler zinaweza kidogo kufanana kwenye housing tu, but ufanyi wa kazi ni tofaut.Tofauti ya Air-cooler na Portable AC ni ipi new generation
Asante mkuu now nimepata mwangaPortable ac na aircooler zinaweza kidogo kufanana kwenye housing tu, but ufanyi wa kazi ni tofaut.
Air cooler ile ni pure fan ambayo inakua na pump ya maji ndani, ambayo hiyo pump inakua inapandisha maji juu ya aircooler then yale maji yanalowanisha kitambaa fulani kwa nyuma huku then kile kitambaa Kikiwa wet/kibichi kinatengeneza kaubaridi fulan, then kunakua na feni inachota ule ubaridi na kuupeleka nje (shida nu kwamba aircooler inataka maji ya baridi na baridi ikiisha kwenye yale maji basi jito ni kama kawaida kumbuka aircooler haina mechanisms ya ku maintain coldness ya maji)
But kwa portable ac ile ni pure air conditioner iliyo na refrigerant (r22 or r410a gas), compressor, condenser, expansion valve na evaporator kwahiyo hii inakua na mechanisms ya kutengenezea baridi yake yenyewe tofauti na aircooler.
Portable ac inakula umeme mwingi kuliko aircooler..