Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 480
- 413
Waheshimiwa humu ndani naomba Kuuliza kea,
Wataalamu wa magari hivi unaposikia Kuwa gari engine yake Ina VVTI maana yake ni nini? na pia faida na hasara za gari yenye engine yenye VVTI.
Natanguliza shukrani