Mimi na jamaa zangu tumekuwa tukitaka kujua juu ya bio gesi. Kuna uhitaji wa kujua juu ya: miundo, gharama, uwezo wa nishati katika matumizi ya nyumbani na viwanda vidogo vidogo.
Kuna haja ya kupata chanzo mbadala cha nishati, si kutegemea TANESCO, jenereta, au jua. Mchango wako ni muhimu kadiri ya uelewa wako au kampuni unayoijua.