Naomba CV ya RAS wa Dar

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
7,887
16,117
Rejea kichwa cha uzi hapo juu chahusika,
Mimi kama mtanzania nnayetokea mikoa ya pembezoni mwa nchi na kuishi Dar Es Salaam naomba kupata CV ya huyu dada niweze kuondoa wasiwasi wangu na maswali yalokosa majibu.
Asanteni wadau
 
Rejea kichwa cha uzi hapo juu chahusika, Mimi kama mtanzania nnayetokea mikoa ya pembezoni mwa nchi na kuishi Dar Es Salaam naomba kupata CV ya huyu dada niweze kuondoa wasiwasi wangu na maswali yalokosa majibu.
Asanteni wadau

Mikoa ya pembezoni mwa nchi ndiyo ipi hiyo?
 
Rejea kichwa cha uzi hapo juu chahusika, Mimi kama mtanzania nnayetokea mikoa ya pembezoni mwa nchi na kuishi Dar Es Salaam naomba kupata CV ya huyu dada niweze kuondoa wasiwasi wangu na maswali yalokosa majibu.
Asanteni wadau

Acha uvivu, ingia mtandaoni uitafute
 
Yani mpaka turudi kwenye mada,jamaa kama anafanya mtihani na akaomba desa kwetuu ashafeliiii, kutoka kuuliza swali hadi kuanza kumjadili
 
Rejea kichwa cha uzi hapo juu chahusika, Mimi kama mtanzania nnayetokea mikoa ya pembezoni mwa nchi na kuishi Dar Es Salaam naomba kupata CV ya huyu dada niweze kuondoa wasiwasi wangu na maswali yalokosa majibu.
Asanteni wadau
nenda makao makuu ya mkoa watakupa
 
Back
Top Bottom