Naomba app nzuri ya kupakua movies tafadhali jina lake

Tumia torrent uTorrent(ipo playstore na pc tumia qbittorrent)website zake NI torrentgalaxy.to na yts
.mx 1337x.to hapo uwezi kosa muvi ze ye high quality hakikisha tu una adblocker (ublock) so tumia Firefox afu add to extension ya ublock
Tumia hiyo👆 Torrent Uttorent ni the best kwenye kushusha movies..daah..unanikumbusha mbali sana enzi za chuo nilikua nashusha movies si mchezo kwa laptop au hata Simu kama ina nafasi kubwa.
 
unaingizaje
Ingia kwenye list ya download zako. Nenda kwenye movie unayotaka kuhamishia kwenye internal storage, gusa vidoti vitatu vilivyopo kulia kwenye hiyo movie. Angalia hapa
IMG_20240105_025144.jpg

Ukibonyeza hapo zitakuja option hizi nne. We chagua "Transfer file"
IMG_20240105_024954.jpg

Ukibonyeza transfer file inakuleta hapa. Tap hapo walipoandika "My Albums"
Halafu tap hapo chini walipoandika "Transfer"
IMG_20240105_025028.jpg

Baada ya hapo movie itaanza kutransfer kwenda kwenye storage. Hii process haichukui hata sekunde 3
Screenshot_2024-01-05-02-50-32-886_com.community.oneroom.jpg

Ukifanya hivyo tu umeshamaliza kazi
 
Ingia kwenye list ya download zako. Nenda kwenye movie unayotaka kuhamishia kwenye internal storage, gusa vidoti vitatu vilivyopo kulia kwenye hiyo movie. Angalia hapaView attachment 2862169
Ukibonyeza hapo zitakuja option hizi nne. We chagua "Transfer file"View attachment 2862170
Ukibonyeza transfer file inakuleta hapa. Tap hapo walipoandika "My Albums"
Halafu tap hapo chini walipoandika "Transfer"View attachment 2862171
Baada ya hapo movie itaanza kutransfer kwenda kwenye storage. Hii process haichukui hata sekunde 3View attachment 2862172
Ukifanya hivyo tu umeshamaliza kazi
Mwamba unatishaaaa
 
Goojara.com. ndio funga kazi
Unamaanisha streaming, kama ni streaming bora atumie hii app ya Onstream
Screenshot_2024-01-05-08-19-37-865_com.maertsno.m.jpg

Hii haipo PlayStore ila.Hii ni apk kama unataka kuidownload link yake hii hapa
 
Tumia websites achana na mambo ya Apps.
Websites ni hizi
Goojara.to
1337x.to
fzmovies.net
nkiri.com
dramakey.com
 
Back
Top Bottom