Hao ni Agent wa kutafutia watu kazi kwenye makampuni mbalimbali.
So huwa wanarecruit job seekers kwa kuwafanyisha Interview then ikitokea kazi mahali wanakuita.
So wakikuita kupata kazi inategemea Kama Kuna kazi kwenye kada yako,Kama hakuna kazi kwenye kada yako watakujibu tu"once we get the job we will notify you"
Kuhusu Interview zao kwanza ukifika utapewa written exam/Aptitude test ambayo inakuwa na maswali mchanganyiko mengine ni Kama ya primary school,then ukimaliza hapo kwa ajili ya hr questions just mahojiano kuhusu background yako na salary burgaining.
After then utarudi home kusikilizia Kama watakuita tena.
I think nimekujibu vizuri swali lako.