naolewa tu sababu ya mimba yake and not any other business!

naolewa tu sababu ya mimba yake and not any other business!

So technically she has just declaired herself to be babies pooping machine...
 
nipo chat room ya one of social media.........nimemeet na binti mmoja rafiki yangu sana wa enz izo za kombolela kijijini

bint ni mjamzito sasa na mipango ya ndoa inaendelea.........katka kumdodosa anadai hakumpenda jamaa ila tu anaolewa kwa ajili ya ujauzito wake aliobeba na kutunza heshima yake na familia........what a looser

nimejaribu kumshauri ni bora akapange nyumba aishi na mwanae rather than comitting such a serious comitment with a fake heart..kagoma katakata

vikao vinaendelea pale msimbazi center vya sendoff August.....mfike bila kukosa Jumapili saa tisa unusu na michango yenu....mwisho wa mwezi huu :car:

Kama hampendi kwa nini alimpa tena hata bila kinga mpaka kiasi cha kupata mimba, dada zetu mtakufa kwa tamaa! Hiyo mimba tu inayoweza kuonekana kwa watu wote. Je HIV na magonjwa mengine ya STDs hayawazii kabisa! Bila shaka anapenda pesa zake ndio maana bado analazimisha kuolewa nae huku akidai hampendi, anacho anachokipenda kwake.

Kama huyo hakumpenda na akamwachia hivyo, sipati picha akimpata anayempenda (huku akiwa kwenyea ndoa yake)! Tutapona kweli?
 
tc true that love grows as days moves on unajikuta unamzoea na kumpenda zaidi tena hata kasoro zk huwezi ziona kamwe.....true love does not exist
 
Kama ni kweli, hiyo ndoa haitadumu
 
Kama ni kweli, hiyo ndoa haitadumu


On the other side inaweza ikadumu ukisha zaa tena ukawa " SECOND HAND" inakubidi utulizane ndio uanze kujifunza jinsi ya kumpenda usiyempenda,

ent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mbona sio jipya hili kwenye hii dunia ya sasa...dunia yake chaguo lake
 
So technically she has just declaired herself to be babies pooping machine...
wapo wengi sana wa hivyo... Kuna wa mimba, kuna wa hela, kuna wa sura nzuri, kuna wa katoka familia ya wasomi, kuna wa kwao hakuna magonjwa, etc etc...
 
aisee..!!naona mtoto ameishakuwa wa mtaani kabla hata hajazaliwa!eeeh mungu,kilinde kiumbe hiki kisicho na hahati
 
Back
Top Bottom