Usiogope, kupima na kujua afya yako ni jambo zuri na utaishi kwa amani/ au utaanza dawa muda ukifika na maisha yataendelea ,,,,,,,pse go go go and you will never regret
kwani wewe umepitia michepuko yenye miiba mikali? kama ndivyo, usijali pia, nenda kapime, VVU haviambukizwi kirahisi kama unavyozani, ila kujua afya yako ni bora zaidi, upo mkoa gani? nikupe kipimo ujipime mwenyewe?
kwani mtoa thread uko wapi!?.....kama uko dar njoo tujiunge huku tukifarjiana mpaka tukapime, maana nami kila nikifikiria ishu ya HIV chakula hakipiti koon!