donbeny
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,612
- 3,242
Usiogope, kupima na kujua afya yako ni jambo zuri na utaishi kwa amani/ au utaanza dawa muda ukifika na maisha yataendelea ,,,,,,,pse go go go and you will never regretHabari wapendwa,
Ebu nipeni ujasiri jamani! Yaani naogopa vibaya mno kwenda "ANGAZA"...