Mimi nakushauri nenda kapime alafu majibu waambie wakutumie kwanjia sms alafu wape namba ya simu feki
dah kupima yataka moyo! mimi najiamini sina ila sijawahi kupata ujasiri wa kwenda kupima!
Fursa au virusi acha kumwingiza king mwenzakoNoted..huna mume na pm zangu hujibu..mambo ya kuchezea fursa haya
Kupima ni kipaji, ni sawa na beki aende kupiga penati ya mwisho ya kuamua kuchukua kombe la dunia
Habari wapendwa,
Ebu nipeni ujasiri jamani! Yaani naogopa vibaya mno kwenda "ANGAZA"
Nikiwaza kwenda huko tu tumbo linauma naahirisha siendi tena!
Tatizo gani hili nishaurini basi namna ya kumshinda huyu Shetani Jamani...
Mkuu unanipa faraja na mimi ningoje tumiaka twa mbeleni angalau tutatu nikapime ukimwi!Jipe ujasiri ukapime binafsi niliishi kwa miaka 10 nikiamini niko victim wa HIV until late wakati wa kuoa utaratibu unalazmisha kupima so i went for a test nikaonekana negative nikaenda hospitali nyingine baada ya mudaa kiasi nako negative...
Mi labda mlete greda la manispaa ya Kinondoni linibebe kwa nguvu.
Hahahahaha huyo kiboko!Hahahaha!! Rafiki yangu alimudu kwenda kupima, lkn majibu aliwaachia wapimaji, alipoambiwa asubiri nje yeye akala kona.