Naogopa sana kupima UKIMWI!

Naogopa sana kupima UKIMWI!

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,755
Reaction score
2,303
Habari wapendwa,

Ebu nipeni ujasiri jamani! Yaani naogopa vibaya mno kwenda "ANGAZA".

Nikiwaza kwenda huko tu tumbo linauma naahirisha siendi tena!

Tatizo gani hili nishaurini basi namna ya kumshinda huyu Shetani Jamani.
 
Naomba nikusindikize, majibu nipewe miye halafu nitajua jinsi ya kukwambia sawa?
 
hakuna cha kufanya zaidi ya kujipa moyo kua utakua hauna au unao...ukiamini hivo utaweza kupima.
 
Una ngoma mkuu! cha muhimu wewe andika wosia na umesema unaharisha jiandae kuharisha zaidi,nenda kanisani katubu dhambi ili ukienda huko upumzike kwa amani.
 
upime ucpime kama unao unao tuu mjomba! dalili zikianza ndio kipimo icho:smile-big:
 
dah kupima yataka moyo! mimi najiamini sina ila sijawahi kupata ujasiri wa kwenda kupima!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom