Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naogopa kupima ngoma

Discussion in 'JF Doctor' started by rosemarie, Aug 22, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,690
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  wakuu naombeni msaada wenu,naogopa sana sana kupima kama nina virusi vya ukimwi,kusema kweli nilikopita na wanawake niliochukua ndio hasa kumbukumbu inanifanya nifikie hatua hiyo
  mungu anisaidie lakini mimi mwoga mno kupima wazee;;msaada nifanye nini??japo siumwi lakini nahisi huenda nilishaupata kutoka kwenye matukio ya nyuma
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,729
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Unatania!!!!!we jikaze kibishi chukua hatua kama unaenda pima malaria,!!!!mbona rahisi sana,ila ugumu wake ni kusubiria majibu!!!inabidi uende na rafiki yako ili akupe moyo kidogo!!!!
   
Loading...