tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,422
(**nikikaa nikifikiria swala la kuolewa huwa nakosa raha..nawaza kuwaacha wazazi wangu...mimi ni mtoto wa mwisho..na nyumbani tumebaki mimi., baba na mama...wengine woote washaoa na kuolewa.nawaza ntawaacha pekee...ntakimiss chumba changu n all the good things about home...my dad n mum treats me like a little child...while am a big girl working...26 yrs old.kazi zoote naweza meaning I can take care of others n myself coz kwa suala la kufanya kazi za nyumbani mama haendekezi ujinga...okey huu ndo umri wa kuolewa na nina boyfriend tunapendana and he fits to be my husband. .na yy anaona m the perfect wife material for him...tuko pamoja tangu chuo....hofu inakuja kuondoka kwetu na kwenda kuishi na mtoto wa mwanamke mwingine..aliyelelewa kwa malezi wanayoyajua wao....kazi itakuja pale atakapoonyesha true colours ndani ya ndoa...muda si mrefu atataka kupropose as nnaona dalili na ananipenda mnoo AS ameacha kazi mkoani na kuamua kuja kufanya kazi mkoa ninao ishi mimi ...my sistas wananiuliza unaolewa lini wewe..coz nna kazi nzuri.....nishaurini mwenzenu..wenzangu mlio ndoani...*****)MANENO YA BIDADA CLASSMATE WANGU