Naogopa kumpa mtu hii pesa

Wauzie wale jamaa wanaonunua pesa mbovu mtaani hope wataichukua
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Watoto wa shule wana akili mbovu kweli kweli, we itoe tu.
 
Hii hela nimepewa bila kujua upande wa pili nini kimeandikwa., badae natoa pesa kwenye wallet naona hayo maandishi,
Naona aibu mimiView attachment 1731805


Hiyo noti tayari kwa sheria za bank kuu imeshakuwa "desolete" itakapofika Bank kuu, sasa na wewe andika neno "MWENYEWE" upande huohuo kumjibu huyo mshenzi aliyeandika hayo matusi na uitumie muda wa usiku kwa tahadhari ili usije kukamatwa na kupewa msukosuko. Lengo la kuitumia ni ili usipate hasara isitoshe ili ifike Bank kuu kwa ajili ya kuharibiwa, kama hutojali basi ipotezee.
 
Mtu akiwa maskini anaanza kutafuta mchawi kumbe amezitumia noti zetu kutukana..
 
Sioni tusi hapo hiyo hela ikienda kwa mwanamke
"kum.ayakounaeshika hii hela"....!
na k unayo kweli
labda ukipeleka kwa mwanaume...
ushauri wangu hiyo hela itumiwe na wanawake tu
 
Unaweza jikuta unakuwa maskini maishani kwa vitu vidogo vidogo kama hivi kisa tu uliandika noti ya buku
 
Hii hela nimepewa bila kujua upande wa pili nini kimeandikwa., badae natoa pesa kwenye wallet naona hayo maandishi,
Naona aibu mimiView attachment 1731805
Kwamba nini yako? Aisee pole sana asa na wew vizia ucku ukanunue kitu dukan umtusi mwenye duka nae akiipata atajua anaipeleka wapi. .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…