Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,235
- 4,382
Sio maneo yote, na zingatia element ya mtoto kujitambua. Kuna mitaa kama kwa mrefu, sakina ipo amani sana na wahuni hamna, kumetulia.Chuga kwenye ulezi wa watoto ni hatari,
Hata mitaa ya Unga ltd na Ngarenaro siku hizi imestaarabika.
Watu wanashindwa kuelewa vizuri, Arusha ya miaka ya nyuma ndo ilikuwa hatari kuliko sasahivi.