Naogopa kumlea mwanangu Dar es salaam

Naogopa kumlea mwanangu Dar es salaam

Kitu ninachokiogopa katika haya maisha ya Dunian ni kwamb kumlea mwanangu Dar es salaam wallah Naogopa
-Unaogopa nini?
-Huyo mwanao ni wa kike au wa kiume?
-Kumleta Dar unamaanisha anakuja kusoma, kuishi kwa ndugu au wewe mwenyewe utakua unaishi nae?
 
You have no idea, dar es salaam japokuwa wanamandeleo sana and all those things likija sauala lakitabia we all konw ndio kuzim pale

Maendeleo yanakuja at the cost of social changes , the more mji unatembelewa na wageni the more unabadilika na ku absorb tabia mbaya from different places
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“
 
Back
Top Bottom