Avith almachius
Senior Member
- Aug 20, 2022
- 167
- 170
Kitu ninachokiogopa katika haya maisha ya Dunian ni kwamb kumlea mwanangu Dar es salaam wallah Naogopa
😂😂😂😂Bora daresalam kuliko kule kwa wenye meno ya kuungua,
Swali zuri.Naheshimu uhuru wa machaguzi, ila huja sema kinacho kuogopesha ni nini?
Hapo sasa, aseme, woga wake uko kwenye angle ipi.Naheshimu uhuru wa machaguzi, ila huja sema kinacho kuogopesha ni nini?
Aaaah! Umenisema mimi kabisa hapo kwenye meno. Kila jino langu lina ngeu halafu rangi ya gold. Ila uziri yamekuwa kama kombati ya jeshi nyeupe na gold!Bora daresalam kuliko kule kwa wenye meno ya kuungua,
Mkoa mzima umepinda km viatu vya wadudu, atafurahi bora dar baadhi ya mitaa tupo kama mkoa tuAaaah! Umenisema mimi kabisa hapo kwenye meno. Kila jino langu lina ngeu halafu rangi ya gold. Ila uziri yamekuwa kama kombati ya jeshi nyeupe na gold!
Amlete Arusha mji wa waungwana, atakuwa na style poa sana ya kuongea!
You have no idea, dar es salaam japokuwa wanamandeleo sana and all those things likija sauala lakitabia we all konw ndio kuzim paleBora daresalam kuliko kule kwa wenye meno ya kuungua,
Tena huko nilikotaja hadi majirani zao wa karibu ni hatari kwa malezi ya watoto, dar ni baadhi ya mitaa na sio mikubwa kihivyoYou have no idea, dar es salaam japokuwa wanamandeleo sana and all those things likija sauala lakitabia we all konw ndio kuzim pale
Maendeleo yanakuja at the cost of social changes , the more mji unatembelewa na wageni the more unabadilika na ku absorb tabia mbaya from different places
Kumlea mtoto kimayai mayai sio kumsaidia kutamfanya awe fragile huko ukubwani.Mkoa mzima umepinda km viatu vya wadudu, atafurahi bora dar baadhi ya mitaa tupo kama mkoa tu
Chuga kwenye ulezi wa watoto ni hatari,Kumlea mtoto kimayai mayai sio kumsaidia kutamfanya awe fragile huko ukubwani.
Mfano wangu mimi nimeishi Arusha from age zero mpaka nafika miaka 21, hayo mambo ya wadudu tumeishi nao, watu wanavuta bangi pembeni yako, mamirungi etc, ila kitu kimoja, mtoto kuharibikiwa ni yeye mwenyewe kutokujitambua.
Na kama mtoto ni kuharibikiwa, ataharibika tu hata akiwa sehemu ambayo ni full amani mda wote.
Dar ni baadhi ya mitaa? You have no ideaTena huko nilikotaja hadi majirani zao wa karibu ni hatari kwa malezi ya watoto, dar ni baadhi ya mitaa na sio mikubwa kihivyo
Foreigners wengi wapo Arusha kuliko Dar, kwahiyo ushajichanganya tayari,Dar ni baadhi ya mitaa? You have no idea
As i said, mkoa ambao unakuwa na foreigners wengi ndio unaopokea tabia nyingi hata zile chafu
Kukaa karibu na mpaka si kwamba mji ndio unakuwa influnced na nchi jirani.
Dar imeharibika zaid kitabia, why ? Wageni wengi mno