Bujibuji naweza kucheka hadi nichanganyikiwe,
kweli na ujanja wako hali ndiyo hii
na unasema eti mwaJ analalamika, kumbe unaona aibu ku do
mtafute Madame B ana tatizo kama lako mkayamalize
mje na majibu.
Hahahahahaa! Bujibuji, inanibidi kwa niaba ya wamama na wadada wa MMU nije nikukague ili niliete majibu hapa Jamvini, Loh! Umenifanya nistuke kidogo, na hao watoto wanafanana na nani?
Mimi ni rijali, nina mke na watoto kadhaa. Tatizo linalonikabili ni kuogopa kufanya mapenzi. Yaani wakati mwingine inabidi waifu awe kama ana nibaka. Mkonga unasimama freshi kabisa, lakini ile kuingiza ndio ninachokiogopa mwenzenu. Mademu kibao nje ya ndoa yangu wananitani, lakini nawakimbia. Naomba ushauri wenu.
Nimekutana na hii kitu mtanaoni, wala haina uhusiano wowote na bujibuji