Naogopa kufanya mapenzi

mbona hujafanya nlichokuambia???unareta dharau sio eee??

hahahahahaha amu
naona unanipa accusations ambazo unazifanya mwenyewe kwanjia ya maandishi!
Hebu ni kumbushe umesema nini labda nilisahau!
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaha amu
naona unanipa accusations ambazo unazifanya mwenyewe kwanjia ya maandishi!
Hebu ni kumbushe umesema nini labda nilisahau!

aaaa wapi najipwndekeza sana kwako sikwambii ng'oooooo
 
Last edited by a moderator:
toka 2008-2013 na kuanzia 2013-till the end chezea lekchara wewe pole KakaKiiza njoo cc uchukue talaka yako

Jaman napita ndo nimetoka kwa machangu wa mjin,swalama lakhn???

Sent from my U8185
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…