Naogopa kufanya mapenzi

Govi litakua linakufanya uwe unaona aibu kwa mkeo, kama vipi liondoe.
 
mwaJ hebu njoo umuone taahira wako buji anavyonifanya nipige kelele kama mwehu, eti dushelele limesimama halafu aogopa ingiza!! Jamani si makubwa haya?
 
Last edited by a moderator:
unamuogopa mkeo? sasa mlioana vipi? na hao watoto mliwapataje? yaani ni sawa na mwanamke maana wanawake ndio huwa na aibu,mhhh polee sana. Hebu nenda kwenye maombi inawezekana ni mapepo au dushelele ni ndogo sana hivyo unaionea aibu? kula pilipili ili iwe kubwaa
 
Huyo aliyeandika hivo ni utoto tu ndio unamsumbua

Kuna watu wana phobia ya giza, ukizingatia ana jicho moja lazima aogope
 
Mkuu sasa hii ni komedi ya kushushia lunch yaani nimecheka mpaka basi. Je akishakusaidia wife kuingiza vpi ushirikiano kwenye game na kama kwa bahati mbaya kwenye mtanange kitu kikachomoka vipi unaona aibu pia kukurudisha?
 
Labda ni mwanamume gogo
 
Mkuu Bujibuji wewe unaeleweka ni kama SMG machine huwezi kuogopa hiyo mambo, kwanza huwa unasherehekea. Salute :yo:Bujibuji
 
Bujibuji naona Mtambuzi kishakuambukiza ugonjwa wake wa kukikimbia kivuli chake. Inakuhusu sana tu!
 
Last edited by a moderator:
mwaJ hebu njoo umuone taahira wako buji anavyonifanya nipige kelele kama mwehu, eti dushelele limesimama halafu aogopa ingiza!! Jamani si makubwa haya?

Sasa wewe Nazjaz ndio umenifanya nipige kelele kwa kucheka! Buji siku hizi kahamia kwa shost yangu cacico
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe Nazjaz ndio umenifanya nipige kelele kwa kucheka! Buji siku hizi kahamia kwa shost yangu cacico
Nazjaz ananiita taahira kwa sababu nilimkataa, hana lolote. mwaJ wewe niliona umewekewa limbwata na hujijui. cacico ndio kila kitu kwangu, licha ya kwamba kibabu Asprin anakaba hadi penalti wakati mtarimbo wake hauonyeshi ushirikiano na mwili wake.
 
Last edited by a moderator:
tujuze vema....uclikmbie tatizo mkuu....
mtandao gan....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…