Naogopa hata kuonana nae

Naogopa hata kuonana nae

to

  • 1

    Votes: 3 75.0%
  • 2

    Votes: 1 25.0%

  • Total voters
    4

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Posts
791
Reaction score
417
Nina mpenz wangu nampenda sana tu na huwa najitahidi kadri ya uwezo wangu kumtimizia mahitaji yake kila ninapopata pesa.

Kitu kinachonichosha ni kwamba kila ninapokutana nae kwaajiri ya kugegedana lazima nimpe pesa ya kutosha hata kama nilimpatia siku moja kabla ya mechi.

Mimi kumpa pesa sio lazima nimgegede, huwa naona ni moja ya majukumu yangu kumuhudumia mpenzi wangu ili aweze kukidhi mahitaji yake lakini kwake yeye imekua tofauti kidogo kwamba kila ninapohitaji kumgegeda lazima nimlipe, yani amekua kama anajiuza vile.

Imefikia kipindi naogopa hata kukutana nae na huwa nashindwa sasa kumtofautisha na wanawake wanaojiuza mana wanawake wanaojiuza tunajua kwamba wako after money, bila pesa hawezi kukupa mapenzi.

Je nimueleze ukweli kwamba hii tabia yake siipendi ili ajirekebishe au niachane nae tu nitafute mwingine ??
 
kwani unauza nini dada? hunitakii mema...
 
Naomba namba yake nikusaidie kumweleza kwa upoooooole
 
Achana nae anauza hiyo bidhaa, pia we ndio unamuendekeza, ukiwa huna pesa mapenzi no, ila pole sana mkuu
 
Acha kuona kero sasa wakati TABIA HIYO umeicreate mwenyewe!!! Acha kumpa pesa unapomgegeda mpe siku nyingine!! ..mazoea hujenga tabia!
 
Umemzoesha acha akupurure tu, umesema mpenz wako afu unamhonga ela, tunahonga malaya wanajiuza
 
mbona haiitajiki kuwa na pesa za kigeni kugundua kuwa huyo mpenzio ni malaya aliyekubuhu?
 
Nina mpenz wangu nampenda sana tu na huwa najitahidi kadri ya uwezo wangu kumtimizia mahitaji yake kila ninapopata pesa.

Kitu kinachonichosha ni kwamba kila ninapokutana nae kwaajiri ya kugegedana lazima nimpe pesa ya kutosha hata kama nilimpatia siku moja kabla ya mechi.

Mimi kumpa pesa sio lazima nimgegede, huwa naona ni moja ya majukumu yangu kumuhudumia mpenzi wangu ili aweze kukidhi mahitaji yake lakini kwake yeye imekua tofauti kidogo kwamba kila ninapohitaji kumgegeda lazima nimlipe, yani amekua kama anajiuza vile.

Imefikia kipindi naogopa hata kukutana nae na huwa nashindwa sasa kumtofautisha na wanawake wanaojiuza mana wanawake wanaojiuza tunajua kwamba wako after money, bila pesa hawezi kukupa mapenzi.

Je nimueleze ukweli kwamba hii tabia yake siipendi ili ajirekebishe au niachane nae tu nitafute mwingine ??
Yaani huwa anakuomba au wewe huwa unashindwa kujizuia kumpa hiyo hela? Sijaelewa...
 
Wewe ndo umemzoesha hivyo kwa nini??? Kwani alikuambia anauza au???? We mkule na usimpe hela uone ka atakudai. Kama unampa matumizi inatosha
 
Umemzoesha, nae kazoea... Maskin mtoto wa wa2 atapata shida akiachika
 
Shida ipo kwako hapo sababu tangu mwanzo hadi mwisho wa huu uzi hakuna sehemu ambayo umeandika kwamba anakuomba.

Hivyo ni we mwenyewe ndio unayeifanya iwe biashara kwa kumpa pesa kila baada ya hicho kitendo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom