pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 518
- 815
Ni kweli Mkuu Mke ana Baraka hongera sanaWakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja.
Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata.
Lengo langu nilitaka nipate maisha kwanza ya kujitegemea ili badae nioe lakini naona umri unazidi kwenda na maisha bado magum sana kwenye huu utawala wa samia pesa haina thamani kabisa ila watu waliopo Kwenye nafasi wanapiga pesa Tu.. hongera kwao.
Mulio kwenye ndoa naombeni ushauri,hivi ni kweli mwanamke huwa anakuja na baraka kwenye ndoa...au ndo maisha yangu yatakuwa magum kuzidi wakati huu nilipo single??wengi wanasema ukioa mwanamke anakuja na baraka zake sijui ni kweli.
Karibuni kwa ushauri wakuu.
Kataa ndoa. Wanawake hawana baraka yoyote bali wao ni nuksi na full mikosi.Wakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja.
Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata.
Lengo langu nilitaka nipate maisha kwanza ya kujitegemea ili badae nioe lakini naona umri unazidi kwenda na maisha bado magum sana kwenye huu utawala wa samia pesa haina thamani kabisa ila watu waliopo Kwenye nafasi wanapiga pesa Tu.. hongera kwao.
Mulio kwenye ndoa naombeni ushauri,hivi ni kweli mwanamke huwa anakuja na baraka kwenye ndoa...au ndo maisha yangu yatakuwa magum kuzidi wakati huu nilipo single??wengi wanasema ukioa mwanamke anakuja na baraka zake sijui ni kweli.
Karibuni kwa ushauri wakuu.
Kama anaoa ili abarikiwe na mwanamke namshauri bora asioe.Bado haujawa na akili timamu za kuishi na mwanamke nyumba moja, nakuonea huruma sana kama unayetarajia kumuoa ana akili kama zako
Tupe namba ya bi harusi tutest kama ni mwaminifu.Wakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja.
Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata.
Lengo langu nilitaka nipate maisha kwanza ya kujitegemea ili badae nioe lakini naona umri unazidi kwenda na maisha bado magum sana kwenye huu utawala wa samia pesa haina thamani kabisa ila watu waliopo Kwenye nafasi wanapiga pesa Tu.. hongera kwao.
Mulio kwenye ndoa naombeni ushauri,hivi ni kweli mwanamke huwa anakuja na baraka kwenye ndoa...au ndo maisha yangu yatakuwa magum kuzidi wakati huu nilipo single??wengi wanasema ukioa mwanamke anakuja na baraka zake sijui ni kweli.
Karibuni kwa ushauri wakuu.
Oa kijana, mke ana baraka haswa akishakuzalia mtoto utaona mambo yanafunguka tu. Ila awe amekuridhia tu na hali yako sio unaingizwa mkenge na tapeli anayetafta ndoa kwa nguvu ili kujificha na uzee maana hawa ndio wengi sikuhizi unamuoa halafu anaendelea kudanga atakutia nuksi tu... Oa mwanamke mwenye mipango ili mpige hatua kimaisha.Wakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja.
Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata.
Lengo langu nilitaka nipate maisha kwanza ya kujitegemea ili badae nioe lakini naona umri unazidi kwenda na maisha bado magum sana kwenye huu utawala wa samia pesa haina thamani kabisa ila watu waliopo Kwenye nafasi wanapiga pesa Tu.. hongera kwao.
Mulio kwenye ndoa naombeni ushauri,hivi ni kweli mwanamke huwa anakuja na baraka kwenye ndoa...au ndo maisha yangu yatakuwa magum kuzidi wakati huu nilipo single??wengi wanasema ukioa mwanamke anakuja na baraka zake sijui ni kweli.
Karibuni kwa ushauri wakuu.
Kabisa mkuu ili asije kuwapa alama 3 wazee wa kataa ndoa.Oa kijana, mke ana baraka haswa akishakuzalia mtoto utaona mambo yanafunguka tu. Ila awe amekuridhia tu na hali yako sio unaingizwa mkenge na tapeli anayetafta ndoa kwa nguvu ili kujificha na uzee maana hawa ndio wengi sikuhizi unamuoa halafu anaendelea kudanga atakutia nuksi tu... Oa mwanamke mwenye mipango ili mpige hatua kimaisha.