Nanyimwa haki ya kuoa ninayempenda

UKI,uko sawa kabsa huu ndo ukweli wa mambo,wakibosho na wamachame ni mwisho.Natokea pande hzo ila hata mm kama kura ikimwangukia mmachame au mkibosho ntakuwa na ????nyingi.
 
Mh, mh mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh, lisemwalo lipo, nakushauri chunguza kuhusu jambo hl,ni kweli mi pia nimekulian kusoma mikoa ya kanda wanayotoka hawa wadada, kweli baadhi yao wana mapungufu hayo yaliyosemwa na wadau lkinikuna ambao hawako hvyo. Ila zingatia kuwa siku hz mambo yamebadilika sana kwa sabab ya muingiliano wa makabila kwa hyo hata tabia nazo zinaathiriwa na mchanganyiko huo.
 
1)Its only fair uhakikishe unajua sababu ili ukifanya maamuzi uwe unajua madhara yake vizuri
2)Ki ukweli mara nyingi ukienda aganist watu kama hao utabeba mzigo mkubwa mabegani mwako hivyo unatakiwa kujiandaa hasa...
3) Always seek the truth and It shall set you free

Thank you very much for your good advice.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom