Kama Nanyaro amesema hivyo basi si haki. Ajue katika siasa hakuna uadui wa kudumu. Watu wana cross toka upande huu kwenda mwingine na hata vyeo wanapata. Mrema alitoka CCM akaenda NCCR akapata cheo. Dr. Slaa alipata cheo, Dr. Kabourou alitoka CDM akapata ubunge wa EA huko CCM, nk.

Na toka lini wewe ukawa msemaji wa chama kuandika mambo yao unayoyaona kwenye magazeti
Si uandike yanayoihusu magamba yako mbona yapo mengi tuu kwenye magazeti
Na naona usipoandika linaloihusu CDM siku yako huwa haimaliziki salama as if mambo ya magamba yameisha
Andika kuhusu report ya CAG na namna mawaziri wako wanavyokataa kujiuzulu na kikimbilia kwa waganga as if waganga watazuia ufisadi wao kuonekana
Andika kuhusu mawaziri wako wanashirikiana kuihujumu nchi
CDM sio watawala na mambo yao yana wasemaji wao na wakiona inafaa watayaongelea
haina mvuto mbona hujaandika kuhusu baraza la mawazir!
Mbona hawa wote walikuwa CCM wote walipewa nafasi Fred Mpendazoe, John Shibuda, hata waasisi wa Chadema wote wametoka CCM Edwin Mtei, Bob Makani.
Mwongo huyu Ritz,gazeti nimelisomna karibu lote,aweke linki au ataje heading ya hiyo habari
Mzee usitumbukie kwenye mtego wa uchonganishi.
Mpendazoe na Shibuda wamepewa vyeo gani ndani ya Chadema??
Concern yako Ritz hapa nini?
1. Unataka Milya awe kiongozi ndani ya CDM kama alivyokuwa CCM?
Kwa mtazamo wako maneno aliyosema Nanyaro(Kama kweli) yanatumika pia CCM? Mfano Shitambala alikuwa mwenyekiti wa CDM mkoa wa Mbeya Na akahamia CCM kwasasa anacheo Gani?na hili chukua muda gani mpaka kupata hicho cheo?
Mytake:Kila Ngoma ina mdundo wake,na kila chama kina taratibu zake katika kuendesha shughuli zake. Issue ya mwanacha kuwa kiongozi ni haki ya msingi lakini usisahau kuwa Haki huenda na wajibu pia.