Nakubaliana na wewe kabisa lakini matumizi ya neno pambana na hamasisha/elimisha hutegemea sehemu na aina ya kazi husika. Mazingira ya wakati huo yanaweza kabisa kubadili maana na matumizi ya maneno hayo.Mimi nafikiri tungebadilisha lugha, badala ya kusema mapambano. Tusema uhamasishaji na uelimishaji wa wananchi. Mapambano limekaa kimgomomgo/kunji/maandamano. We should find a good name on this.. Ningeshauri tupunguze kutumia nguvu kupita kiasi, jazba na hasira badala yake tuelimishe umma kujua haki zake and maove yanayoendelea ili kufanya uamuzi mzuri wa kuwapata viongozi waadilifu wa nchi hii iliyobarikiwa.
Mkigoma,hivi cdm huwa hawana matawi? mbonasijasikia wakifanya chaguzi!!
Nawashukuru sana kwa pongezi zenu za dhati,natambua matarajio makubwa ya umma unaotamani migogoro ya chadema iishe,kimsingi kikao cha siku mbili kilikuwa cha baraza la mashauriano ya mkoa,kilizungumzia wilaya zote,na hali ya kisiasa kwenye wilaya zote za mkoa wa Arusha zinaendelea kutekeleza maazimio ya chama kama tulivyokubaliana kwenye baraza la 1april,kwa Arusha mjini baraza likagundua matatizo mbalimbali ya kiuongozi,ndipo kamati tendaji ikaridhia kujiuzulu ili kupisha uchaguzi wa watu watakaoweza kukiimarisha chama zaidi,hasa ikizingatiwa hali ya Arusha mjini ilivyo
Nashukuru kuwa viongozi wenzangu wamenipa heshima hii kubwa ya kuendeleza pale wenzangu walipofika.
Ni kweli chadema tuna misingi,matawi,na kata,hivyo moja ya majukumu yangu makuu ni kuhakikisha chama kinakuwa imara kuanzia ngazi ya chini kabisa,yaani msingi,hii ni pamoja na kuelekea kwenye uchaguzi wa wilaya
Mapambano yanaendelea
<br />Nawashukuru sana kwa pongezi zenu za dhati,natambua matarajio makubwa ya umma unaotamani migogoro ya chadema iishe,kimsingi kikao cha siku mbili kilikuwa cha baraza la mashauriano ya mkoa,kilizungumzia wilaya zote,na hali ya kisiasa kwenye wilaya zote za mkoa wa Arusha zinaendelea kutekeleza maazimio ya chama kama tulivyokubaliana kwenye baraza la 1april,kwa Arusha mjini baraza likagundua matatizo mbalimbali ya kiuongozi,ndipo kamati tendaji ikaridhia kujiuzulu ili kupisha uchaguzi wa watu watakaoweza kukiimarisha chama zaidi,hasa ikizingatiwa hali ya Arusha mjini ilivyo<br />
Nashukuru kuwa viongozi wenzangu wamenipa heshima hii kubwa ya kuendeleza pale wenzangu walipofika.<br />
Ni kweli chadema tuna misingi,matawi,na kata,hivyo moja ya majukumu yangu makuu ni kuhakikisha chama kinakuwa imara kuanzia ngazi ya chini kabisa,yaani msingi,hii ni pamoja na kuelekea kwenye uchaguzi wa wilaya<br />
Mapambano yanaendelea
Ndugu wanaJf
Habari za uhakika kutoka kwenye baraza la uongozi la chadema mkoa,lililokaa kwa siku mbili mfululizo,kujadili hali halisi ya kisiasa Arusha mjini,limegundua makosa mengi ya kiuongozi ngazi ya wilaya,na mara baada ya majadiliano kamati tendaji yote ya wilaya ikaamua kujiuzulu kwa hiari, ili kupisha viongozi wapya.
Hivyo Nanyaro ambaye ni diwani wa Levolosi na mmoja wa vijana wenye ushawishi mkubwa wa siasa za upinzani Arusha mjini, kuteuliwa kuongoza task force ya wilaya,yenye lengo la kuimarisha chama, na kuratibu zoezi la uchaguzi wa wilaya.
Hata hivyo mwenyekiti wa mkoa amesisitiza kuwa CHADEMA ni imara,na Nanyaro ameteuliwa kwa kuwa ni mmoja wa viongozi wanaokijua chama Arusha kwa undani,na mwenye rekodi nzuri ndani ya chama
Hivi utaratibu ukoje ndg zangu? kikao kilichokaa jana kilikuwa cha kamati tendaji ya mkoa, imekuwaje ikajadili suala la wilaya ya arusha peke yake? vipi kuhusu wilaya zingine?
Hata hivyo napongeza zoezi hilo kutokana na kwamba kulikuwa hakuna mawasiliano mazuri ya chama kutoka wilaya kwenda mkoani, na kutoka wilaya kwenda kata. hongereni sana
Mmeanza kujivua gamba mapema hivyo hata dola hamjaishika. Kweli nyie si watu makini na mnao faaa kuaminiwa na watanzania
GB unachanganya mambo, sisi huo msamiati wa kujivua gamba hatuna sisi tunaimarisha chama hasa safu ya uongozi, kwenu nyie ndio kuna msamiati, hebu angalia hapo chini dhana ya kujivua gamba kwenu ilivyo....Mmeanza kujivua gamba mapema hivyo hata dola hamjaishika. Kweli nyie si watu makini na mnao faaa kuaminiwa na watanzania
Kama kujivua gamba sio umakini mbona chama chenu cha magamba ndio kinafanya hayohayo!? kwahiyo wanatuonesha kwamba nyie sio makini?
hongera sana Mungu akuzidishie hekima na busara kwa kipindi hiki kingumu kwa ajili yakukomboa taifa letuNawashukuru sana kwa pongezi zenu za dhati,natambua matarajio makubwa ya umma unaotamani migogoro ya chadema iishe,kimsingi kikao cha siku mbili kilikuwa cha baraza la mashauriano ya mkoa,kilizungumzia wilaya zote,na hali ya kisiasa kwenye wilaya zote za mkoa wa Arusha zinaendelea kutekeleza maazimio ya chama kama tulivyokubaliana kwenye baraza la 1april,kwa Arusha mjini baraza likagundua matatizo mbalimbali ya kiuongozi,ndipo kamati tendaji ikaridhia kujiuzulu ili kupisha uchaguzi wa watu watakaoweza kukiimarisha chama zaidi,hasa ikizingatiwa hali ya Arusha mjini ilivyo
Nashukuru kuwa viongozi wenzangu wamenipa heshima hii kubwa ya kuendeleza pale wenzangu walipofika.
Ni kweli chadema tuna misingi,matawi,na kata,hivyo moja ya majukumu yangu makuu ni kuhakikisha chama kinakuwa imara kuanzia ngazi ya chini kabisa,yaani msingi,hii ni pamoja na kuelekea kwenye uchaguzi wa wilaya
Mapambano yanaendelea
Mi nimepita tu! Nawasubiri wenyewe waje maana siwaoni humu kabisa. PJ,Preta,Black Woman,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Sokon 1 na wote wenye vyanzo hapa town sijawaona.Na bila shaka waki2a tutawasikia vema!
Nawashukuru sana kwa pongezi zenu za dhati,natambua matarajio makubwa ya umma unaotamani migogoro ya chadema iishe,kimsingi kikao cha siku mbili kilikuwa cha baraza la mashauriano ya mkoa,kilizungumzia wilaya zote,na hali ya kisiasa kwenye wilaya zote za mkoa wa Arusha zinaendelea kutekeleza maazimio ya chama kama tulivyokubaliana kwenye baraza la 1april,kwa Arusha mjini baraza likagundua matatizo mbalimbali ya kiuongozi,ndipo kamati tendaji ikaridhia kujiuzulu ili kupisha uchaguzi wa watu watakaoweza kukiimarisha chama zaidi,hasa ikizingatiwa hali ya Arusha mjini ilivyo
Nashukuru kuwa viongozi wenzangu wamenipa heshima hii kubwa ya kuendeleza pale wenzangu walipofika.
Ni kweli chadema tuna misingi,matawi,na kata,hivyo moja ya majukumu yangu makuu ni kuhakikisha chama kinakuwa imara kuanzia ngazi ya chini kabisa,yaani msingi,hii ni pamoja na kuelekea kwenye uchaguzi wa wilaya
Mapambano yanaendelea
Well noted, but to my understanding is that, perhaps you wanted to contest also- correct me if am wrong!.Hivi utaratibu ukoje ndg zangu? kikao kilichokaa jana kilikuwa cha kamati tendaji ya mkoa, imekuwaje ikajadili suala la wilaya ya arusha peke yake? vipi kuhusu wilaya zingine?
Hata hivyo napongeza zoezi hilo kutokana na kwamba kulikuwa hakuna mawasiliano mazuri ya chama kutoka wilaya kwenda mkoani, na kutoka wilaya kwenda kata. hongereni sana