Nanunua simu zilizokufa

changman

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
229
Reaction score
90
Nanunua simu zilizokufa, simu 100 sh. 40,000. Mwenye nazo niandikie msg.
 
mie nina meno ya tembo waliokufa vipi unataka nikuuzie?
 
mie nina meno ya tembo waliokufa vipi unataka nikuuzie?

Hii ndio sababu moja watanzania hawaendelei. Kila kitu wanafanya utani, halafu kibaya zaidi utani wenyewe hauchekeshi wala kufurahisha! Kama we hutaki hela wenzako walio serious watahitaji dili kama hii. Dah watu wengine bwana
 
Ni kweli ukisemacho, lakini... Nani wa kukaa na simu 100 mbovu..??? Halafu simu 100 uuze kwa Tshs. 40,000/- and then all of the sudden uzungumzie maendeleo kwenye hiyo makitu..!!! Hell no, acha tu tuchekeshe na visichekeshe...
 
Nadhani humu JF kuna mafundi wa simu ambao wana simu za zamani au za muda wowote ambazo zishakufa. Au watu wanaofahamiana na mafundi simu pia wanaweza jua au watu wanaojihusisha na biashara ya scrap au tu mtu yeyote ambaye yuko sharp anajua changamkia pesa anaweza akapita kwa mafundi simu akazikusanya then akaniuzia. Whatever it is, mtu mwenye akili ya kuchangamkia opportunities anaweza changamkia hii. Na mimi nimeiweka humu ili watu wa namna hii wanitafute tuiendeleze nchi yetu kwa kupunguza uchafu wa kielectronic katika nchi hii.
 
Haya tupe dili, ukishazikusanya unazifanyia nini..?? Au kama na wewe unakwenda kuuza unauza kwa namna ipi..??
 
Haya tupe dili, ukishazikusanya unazifanyia nini..?? Au kama na wewe unakwenda kuuza unauza kwa namna ipi..??

Sasa mzee info nyingine ni classified. Kifupi tu ni kuwa na mimi naenda kuuza sehemu nyingine.
 
Mimi ningekushauri kwamba kama unaweza ongea na vijana wa mtaani ili wao wapite kwa mafundi simu wakukusanyie, kwa bei hiyo nina uhakika vijana wa mtaani watakutafutia hata kwa bei iliyochini zaidi. Ukiwategemea watu wa humu JF ambao ni matozi na wanaopenda mafanikio ya kuletewa, utauwa unapoteza muda wako tu. Humu ndani hakuna anayeweza changamkia dili kama hiyo. Wao wanachotaka ni mtu kama Mengi au serikali imletee sh. milioni 50 aanzishe biashara ya kisharobaro. We ongea na madogo wa mtaani ambao wako tayari ku hustle.
 
du cm mia kwa elfu arobain ???? Hpo hapakaa vizur
 
Yaan xmu moja tsh 400/= wakat nyngne utakuta zna display nzma ambayo inauzwa syo chn ya 15000..au unamaansha circuit
 
Simu 100 mbovu kuzipata si mchezo kaka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
fundi simu hawezi kupa simu mbovu ni muhimu kwa kazi yake, kupata simu mbovu 100 si kitu rahisi!
 
...Ndio maana watu wamecheka! Wewe Mwenyewe ndio Umenza Utani Mkuu!Simu moja hata kama ni mbovu shs mia 4? Ninaamini kuwa simu nyingi si mbovu kiasi cha kustahili bei hiyo! kuna mtu simu yake inaanguka tu, Kimya! anaiweka kabatini anaenda kuchukua nyingine, halafu umuambie huyu akusanye nyingine 99 ili apate shilingi 40,000/=??? Binafsi nahitaji sana Ujasiriamali wa kuniongezea Kipato lakini wa Hivi???...acha tu niendelee kujichekea...!:smiling:
 
dah!dili zingine bana...michoyo mpaka mwisho!...simu 1 mia 4?..housing used yenyewe haipungui 500(zimemwagwa k/koo)...kamwambie kazi imekushinda!Mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…