Nanunua mayai ya jumla ya kisasa-Dodoma

Nanunua mayai ya jumla ya kisasa-Dodoma

Kasiane

Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
82
Reaction score
57
Natafuta mfugaji wa kuku anayeuza mayai ya kisasa kuanzia treyi 10, bei shillingi 6,000 kwa treyi. Muuzaji awe dodoma, kama unayo nicheki 0714112838. Thanks in advance
 
6000???? Sijui Maaana Mfuko Wa Chakula Umefika 65, 000 Toka 35, 000
 
6,000 mkuu hapo umechemka hiv unajua bei ya chakula au unakurupuka tu.
 
6,000 mkuu hapo umechemka hiv unajua bei ya chakula au unakurupuka tu.
Mwanafunzi hana haja ya kujua mshahara wa mwalimu wake so na mimi kujua bei ya chakula cha kuku sizani kama inanihusu sana
 
Ok basi aliye tayari kuniuzia kwa sh 8,000 anicheki
 
Naweza kukuuzia kwa sh 8000 kwa tray kama utahitaji kwa Idadi yoyote ya mayai utakayoitaka namba zangu ni 0767989713 na 0715989713
 
Back
Top Bottom