Kwa hiyo 11 utapata vidogo sana, 15 hapo unaweza pata wakubwa kidogoNdio sitaki wakubwa sana size ya kati
Hata ungeniambia unawafuata shambani dodoma kwa hiyo bei sikuuziiπ’ TANGAZO LA UNUNUZI WA KUKU WA KIENYEJI π
Ninatafuta kuku 30 wa kienyeji kwa ajili ya matumizi ya haraka.
π° Bei: Tsh 11,000 kwa kila kuku
π Eneo: Dar es Salaam
β±οΈ Nahitaji haraka iwezekanavyo!
Ikiwa unauza kuku wa kienyeji au unamjua anayewauza, tafadhali wasiliana nami mara moja!
π Piga/SMS/WhatsApp: 0653796351
Nakuombea mema..ila ongeza bei kidogo mkuu.Asee naona unaniombea mabaya
Mkuu tangazo lako linataka wa kufuga??? Nilidhani kitoweo..Asee kwaiyo siwezi kupata kuku wa kienyeji wa kufuga kwa hiyo bei mkuu? Au ndo kukariri maisha
Nimeshangaa! Hata kijijini kwa bibi na babu yangu hupati kuku mwenye afya kwa hiyo bei.Mkuu kuku wa kienyeji elfu 11? Dar es salaam