TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,300
wakuu heshima kwenu, mtu yoyote ambaye analo kabati la chips la vioo, kama anauza naomba aniuzie, mimi nitanunua kwa bei ya shillingi 50000. mimi nipo dar, na pia anayeuza naomba awe anapatikana dar, kwa lengo la urahisi wa kusafirisha. kwa mawasiliano 0757950376. asanteni