Nanunua hisa za Nicol kwa shs 120@

Nanunua hisa za Nicol kwa shs 120@

Godwine

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2010
Posts
1,371
Reaction score
286
Nimeamua kuwapunguzia machungu wanahisa wa nicol kwa kuanza kununua hisa zao kwa shs 120 kwani ndani ya mwaka huu kunauwezekano wa kampuni kufa kabisa
 
Uwii Godwine hebu toa habari kamili. Maaana umeugusa mtima wane...sielewi kinachoendelea huko Nicol, hakuna mikutano ya wanahisa wala hatujajulishwa lolote. Sijui hiyo kesi imeisha au ndio tumeliwa jumla
 
Last edited by a moderator:
Ile kampuni ina migogoro ni balaaaa, kuna jamaa1 wa kichaga mbishi kweli kweli hataki kukabidhi Mali za kampuni wala hataki kuachia madaraka
 
Uwii Godwine hebu toa habari kamili. Maaana umeugusa mtima wane...sielewi kinachoendelea huko Nicol, hakuna mikutano ya wanahisa wala hatujajulishwa lolote. Sijui hiyo kesi imeisha au ndio tumeliwa jumla

nicol wamehamia sasa katika swala gas nendeni na huko kwikwikwi
 
Last edited by a moderator:
du! yaani vipesa vyangu vimetapeliwa hivi hivi. Toka nijiunge ni zaidi ya miaka 8! sijapata hata senti moja
 
Hii ni kama ya sisi tuliowekeza precission. Mwaka wa nne huu bila bila.
 
nipo tayari kununua hisa kwa bei niliyotaja hapo juu ndugu zangu
 
kusanyikeni daini haki yenu ata kwa kuchapana viboko....but mnaotaka kuuza njooni nazinunua
 
Nimeamua kuwapunguzia machungu wanahisa wa nicol kwa kuanza kununua hisa zao kwa shs 120 kwani ndani ya mwaka huu kunauwezekano wa kampuni kufa kabisa
Kwani Nicol ilivyoanza Hisa zilikuwa kiasi gani.., na ilivyopeak zilikuwa zinauzwa kiasi gani ?
 
Kila hisa iliuzwa tshs.250/=
Na katika kupanda kwake kote (theoretically) peak yake ilifikia wapi yaani ilipanda mpaka kiasi gani.., hau hamkuwahi kupata mrejesho wowote au haukupata kuangalia kwenye magazeti

Najaribu kuona kama offer ya mdau ni nzuri, ila unajua haya mambo hususan kwa bongo yamekuwa ni kama kamali
 
Nicol si nilisikia yule bosi wa mikocheni Ingia Popote Pale amelamba pesa zote?
 
Na katika kupanda kwake kote (theoretically) peak yake ilifikia wapi yaani ilipanda mpaka kiasi gani.., hau hamkuwahi kupata mrejesho wowote au haukupata kuangalia kwenye magazeti

Najaribu kuona kama offer ya mdau ni nzuri, ila unajua haya mambo hususan kwa bongo yamekuwa ni kama kamali

Nicol inaendeshwa kitapeli tapeli tu. Gawio lilitoka mara moja tu na si kwa wanachama wote. Katika moja ya mkutano mkuu walitangaza hakuna gawio ila kila hisa imekuwa double yaani kama ulikuwa na hisa 100 jihesabu una hisa 200 na walitoa certificate za kuonyesha hisa mpya. Toka hapo migogoro ikashika hatamu na wakapelekana mahakamani (viongozi), baada ya hapo sina taarifa zozote labda wengine wanajua mengi kuliko mimi.

Sina uhakika na ofa ya mdau... inawezekana ni mmoja wa wahanga anataka kujua nini kinaendelea huko Nicol
 
Back
Top Bottom