happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
Nicol si nilisikia yule bosi wa mikocheni Ingia Popote Pale amelamba pesa zote?
Unamaanisha mengi amekula jasho la vikwapa vyetu????
Nicol si nilisikia yule bosi wa mikocheni Ingia Popote Pale amelamba pesa zote?
du! yaani vipesa vyangu vimetapeliwa hivi hivi. Toka nijiunge ni zaidi ya miaka 8! sijapata hata senti moja
Unamaanisha mengi amekula jasho la vikwapa vyetu????
Chezea mengi na mosha,halafu utasikia ametoa milioni kadhaa kwa albino pembeni yake wana nicol wanalia