Yard ipo Inauzwa 20m,Mbona zipo nyingi tu mfuko wako tu ukitaka ya mkononi pia nione,ni pmWasalaam wandugu
Nanua gari aina tajwa hapo, kimuonekano ni jamii ya CARRY/KIRIKUU lakini ni kubwa zaidi yake. Kwa yeyote mwenye kuwa nalo iwe personal or show room PM me.
Mkuu 20 c bei ya fuso hiyo, ila hata ya mkononi sio mbaya
Zunguka yard ukafanye uchunguzi wameshuka sana 19.5 hadi 19mMkuu 20 c bei ya fuso hiyo, ila hata ya mkononi sio mbaya
Kuna watu hawajui bei za magari mkuu ukiwatajia bei wanaona unawapiga wakati sisi haipiti siku tunazungukia kwenye mayard tofauti tofautiAcha utani mkuu hata canter hupati yard kwa 20, au hujui bei za magari?
Umeona bei hyo wee uliniambia 20m unanunua fusoYARD AU MKONONI
Wasalaam wandugu nanua gari aina tajwa hapo, kimuonekano ni jamii ya
Carry/kirikuu lakini ni kubwa zaidi yake. Kwa yeyote mwenye kuwa nalo iwe personal or show room PM me.
IPO ya 12mMwenye gari hii tafadhali nahitaji.Ni pm kwa mazungumzo na picha wtsap.
isiwe ya show room najua siwezi mudu bei yake hivyo usijisumbue.
Ningekuwa na bei ya show room ningeenda.
Jan Japan iko maeneo gani Dar. Nahitaji kuitembelea kwa kwa ishu ya magari.Nenda show room pale Jan Japan utapata hiyo gari kwa 17 M
Upo wapi mkuu.IPO ya 12m
Aise hii gar mwenyewwe naitafuta Sana'aWasalaam wandugu nanua gari aina tajwa hapo, kimuonekano ni jamii ya
Carry/kirikuu lakini ni kubwa zaidi yake. Kwa yeyote mwenye kuwa nalo iwe personal or show room PM me.