Nanunua gari "townace"

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,729
Points
2,000

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,729 2,000
Wasalaam wandugu nanua gari aina tajwa hapo, kimuonekano ni jamii ya
Carry/kirikuu lakini ni kubwa zaidi yake. Kwa yeyote mwenye kuwa nalo iwe personal or show room PM me.
 

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
42,474
Points
2,000

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
42,474 2,000
Wasalaam wandugu
Nanua gari aina tajwa hapo, kimuonekano ni jamii ya CARRY/KIRIKUU lakini ni kubwa zaidi yake. Kwa yeyote mwenye kuwa nalo iwe personal or show room PM me.
Yard ipo Inauzwa 20m,Mbona zipo nyingi tu mfuko wako tu ukitaka ya mkononi pia nione,ni pm

Ova
 

1gb

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Messages
1,343
Points
2,000

1gb

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2013
1,343 2,000
Mwenye gari hii tafadhali nahitaji.Ni pm kwa mazungumzo na picha wtsap.
isiwe ya show room najua siwezi mudu bei yake hivyo usijisumbue.
Ningekuwa na bei ya show room ningeenda.
 

Forum statistics

Threads 1,357,578
Members 519,057
Posts 33,150,972
Top