Nanii

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
Nimwamini nani?kila ninayemwamini...ananigeukia,fundi wangu ananigeukia
Wabunge wananigeukia,
Mwalimu ananigeukia,
.......:.....................ananigeukia
...............................ananigeukiaaa
 
Mwamini nyumba ndogo yako..Kama haumwamini wife wako. Teeehhh
 
usawa huu usimwami mtu...mwamini Mungu tu....
 
Kama wabunge wanakugeukia mwamini raisi wako jk wa pili.
 
mmhh hata mitandao ya simu tumewaani kwenye internet lakini wao wanatugeukia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…