Nchi ya Morocco,hapahapa Afrika, imepiga marufuku mapenzi nje ya ndoa. Kupitia Kanuni ya Adhabu Nambari 490 ya nchi hiyo,ni kosa la jinai kufanya mapenzi na asiye mke/mume wako. Adhabu kali za viboko,faini na kifungo gerezani zinatolewa kwa yeyote anayevunja sheria hiyo...