NANIHIU marufuku MOROCCO... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NANIHIU marufuku MOROCCO...

Discussion in 'International Forum' started by VUTA-NKUVUTE, Jul 22, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,792
  Likes Received: 5,691
  Trophy Points: 280
  Nchi ya Morocco,hapahapa Afrika, imepiga marufuku mapenzi nje ya ndoa. Kupitia Kanuni ya Adhabu Nambari 490 ya nchi hiyo,ni kosa la jinai kufanya mapenzi na asiye mke/mume wako. Adhabu kali za viboko,faini na kifungo gerezani zinatolewa kwa yeyote anayevunja sheria hiyo...
   
 2. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,792
  Likes Received: 5,691
  Trophy Points: 280
  Mapenzi yanaruhusiwa kwa waliooana tu. Sisi tunaweza?
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  Inataka moyo!
   
 4. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,779
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  safi sana! inabidi Tanzania tuige hiyo.
   
 5. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,638
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Mmmh Watu watakuwa MAGOGO... Hakuna Expirience
   
 6. KABAVAKO

  KABAVAKO JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Experience inapatikana unapokuwa umeoa na wala sio kuzini. Safi sana Morocco. Natamani Tanzania ipitishe sheria hiyo ili kudhibiti uzinzi.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,220
  Likes Received: 1,625
  Trophy Points: 280
  Sasa infidelity itakuwaje? Ama ndo inabidi kuoa na kutoa talaka baada ya miezi 3?
   
 8. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ninachotaka kujua ni kama itakuwa enforced kwa wanawake tuu kama ilivyo nchi zingine za kiislam au na wanaume pia tutabanwa
   
 9. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,756
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  ni neno jema sana..
  lakini isije kuwa kama ile ya mwanamke lazma aoelewe akiwa birika alafu matokeo yake inaongeza ushoga na waschana kutoa 0713 hadi ili wanapoolewa waende nabirika zao
   
 10. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,591
  Likes Received: 9,526
  Trophy Points: 280
  ningekuwa naishi morroco mbona ningekimbia mieeeeeeeeeeeeee
   
Loading...