Kusinyaa wakati wa baridi au wakati hauna wazo lolote la kufanya sex ni jambo la kawaida. Kuuma misuri wakati mzee amepamba moto ni jambo la kawaida maana anahitaji u-download then misuri haiwezi kuuma. Kuhusu pre-enjaculation, kama aliyetangulia kasema, yawezekana ni style ya maisha uliyonayo na mazoea na mwenzako, nikuulize, je ukitoka nje ya ndoa hali inakuwaje?? je, unapiga bao zaidi na zaidi?? nenda taratibu inaonekana hauna tatizo lolote.[/QU
mkuu mi nadhani ni vyema ungemshauli jinsi ya kutatua tatizo lake na sio suala la kutoka nje ya ndoa.
hayo mabadiliko uliyopata ambayo yapo tofauti na zamani ni suala llinalohusiana na saikolojia, kwa hiyo unatakiwa kumuona daktari au mtaalamu wa mambo ya saikolojia then umueleze kwa undani, atakuambia jinsi ya kusolve tatizo lako.
una tatizo la kisaikolojia zaidi. Mwone daktari au mwanasaikolojia atakusaidia. Besides, try new things in your relationship.
try new things like what???
New relationships!
Mbumbuje zinataka vitu vipya, new flavas!! Kuna wakati jamaa yangu (ameona na watoto 3) alikuja kuniomba ushauri akisema kwamba performance yake on bed imeporomoka sana, akipiga bao moja.. kwinshee kazi, anageuka upande wa pili na kulala!! Nikamshauri (kwa nia njema kabisa) atafute binti nje ya ndoa ili afanye majaribio kama tagonga bao moja na kulala.
Basi jamaa akafanyia kazi ushauri wangu, baada ya wiki tu akawa kapata kibinti. Baada ya kufanya naye mapenzi, akanifuata na kuniambia kwamba game ilikuwa ni noma, alipiga goli 4 kama Wayne Roon, mtalimbo haukutepeta hata chembe!!
Mpaka leo jamaa, akitaka game safi..anajua cha kufanya!!
Mwanaume yoyote ukishamkanyaga binti mara kadhaa, hamu na inakuwa inapungua mpaka inafika wakati mnakuwa kama kaka na dada, hata mkeo akiwa mtupu kabisaa, hautokuwa unasisimka kabisa.
Ndio maana ukitaka ujibebee mwanamke kirahisi, mtokee mke wa mtu aliye kwenye ndoa for 3 yrs or more, ukimu-entertain kidogo tu, utakuwa unajibebea kiuraini kama scrapper za TRL!!

Ndugu mtoa maada naunganana wote wasema ni tatizo la kiakili zaidi; yaani kuna wasi wasi ambao tangu utotoni umekuwa ukijijengea; Si vibaya ukazoza na my wife wako kuhusu hilo utashangaa dawa uko nayo hapo hapo! Wala usione aibu kumwuweka wazi!

Kwa maoni yangu, hiyo expansion na contraction si tatizo kabisa........ila hiyo part two.....inaweza kuwa na uhusiano na aina ya maisha yako au saikolojia zaidi, hasa ukizingatia mya waifu wako umeshamzoea sasa.......!
Habari madaktari wa JF!
Mimi ni mwanamume mwenye mke na watoto, ila kuna tatizo linanisumbua kwa muda mrefu sasa. Ni kwamba tangu nikiwa mdogo nilikuja kugundua kuwa uume wangu una tabia nisiyoielewa. Ikiwa haijasimama inakuwa ndogo sana na kukiwa na baridi ndo kanakuwa kadogo kabisa. wakati inapokuwa imesisimka inaongezeka si urefu tu bali hata unene unakuwa wa kutosha wa kumfanya mwanamke ajisikie vizuri. Hali ya uume kuwa mdogo ilikuwa inanifanya nijisikie aibu mbele ya wenzangu kiasi cha kuogopa kuogelea nao pamoja ama mara nyingne kuogelea na chupi na kuivaa ikiwa mbichi. Hali hiyo ilinitesa sana kiasi cha kuogopa kuoa kwani nilidhani mke hatanifurahia.
Baada ya kuoa mbunduje yangu ilifanya kazi vizuri sana na nilikuwa sichoki kabisa (naweza kwenda round ndefu tatu kwa mfululizo), sometimes nilikuwa naweza kutumia dk 45 kwa round moja kama tumekubaliana nisimalize mpema.
Sasa kinachonipa shida ni kwamba siku hizi nahisi ile mbunduje imebadilika tabia kwani nikipiga bao moja huwa nachoka sana na kujisikia kulala, hapo sirudii mchezo mpaka siku nyingine hata km mwenzangu anataka. Na mara nyingi bao lenyewe linachomoka mapema nisiyotaka( hata dk ya kwanza). Cha kushangaza zaidi ni kwamba misuli ya mbunduje yangu huwa inauma inapokuwa imesimama kwa muda mrefu.
Nimekuja kwenu ili nipate ushauri ni nini cha kufanya ili nipate raha ya tendo la ndoa na pia maumivu yapungue kwenye mbunduje yangu.
Naomba ushauri.
Sina uhakika kama wasiwasi inaweza kuwa imechangia, ingawa mwanzo nilikuwa na wasiwasi sana juu ya maumbile yangu. Na si hivyo tu kwani hata korodani zangu si zile za mee. Na hiyo ilinipa hofu sana baada ya jamaa zangu waliokuw wakisoma PCB kuja na mada yao ya p...mbu za kuning'inia kwamba ndizo zenye kizazi kutokana na kuwa hazipati joto la mwili ambao walisema kitaalamu lile joto linaua mbegu. Nilihofu sana na kujionea huruma wani nilitegemea kutengeneza fedha ambazo ninge-njoy na familia.
Je, korodani nazo zikigoma kuning'inia kunatokea kitu gani kiafya ama inakuwa imesababishwa na nini?