Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,331
- 7,885
Huyu hapa
sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Huyu hapa
Hehehe!!Uko vizuri kwenye selection mkuu Keyon.
Hatari sana, huo mzigo akikutangulia mbele anaweza akakupa lift kwa lazima ukasahau unapoenda.
sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Sawa-sawa!!
Ndio huyo mwenye tight ya pink??




Hawa warembo wetu na kweli wapo kwa ajiri yetu, ila siku hizi wana msemo wao wanakwambia bongo bahati mbaya!Hehehe!!
Ebana hao ni warembo maarufu bongo,,yetu macho tu.
Wanawake wapo kwa ajili ya Wanaume na si wanaume kwa ajili ya Wanawake..
Wanaoweza wanaingia uwanjani wengine wanabaki kama washangiliaji na wachambuzi.
Wacha wachezewe,wakija kushituka washakuwa vibibi.Hawa warembo wetu na kweli wapo kwa ajiri yetu, ila siku hizi wana msemo wao wanakwambia bongo bahati mbaya!
Yaani akiangalia mtikisiko wa tako lake anajiona yeye ni wa hongo ya milioni 10 wakati huo hapa bongo wakumpa hizo milioni 10 ni wa kutafuta kwa kupiga ramli.
sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Mmh,msemakweli mpenzi wa Mungu,funua uone yaliyomo ndiyo uzungumze.Tatzo sijawafunua!!
Wee haya wee,tafuta vita na mkuu wa jiji tu.Masogange yuko vizuri anatako laini.
-Ndumilakuwili-