Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,776
- 2,389
Ndugu Wadau, Nadhani muda unavyokwenda, nchi yetu inazidi kudidimia katika wimbi la ufukara. Nchi imekwisha na hali inazidi kutisha, hasa tukizingatia hali ya kisiasa na ya kiuchumi.
Itakuwa vyema sana, hasa baada ya ndugu yetu, kinara mkuu wa JF Mwanakijiji kujitambulisha, itakuwa vyema ajumuike na wenzie Shayo na Mashaka , na wengineo ili kuiokoa Tanzania. Waheshimiwa, inabidi tulijadili ili swala kwa busara siyo kujadili watu kama ilivyo kawaida yetu.
Je Vijana hawa waingie kwenye Kinyang'anyiro cha 2010 au Wasubiri hadi 2015 mafisadi wazidi kuimaliza nchi kwanza?
Mwanakijiji tunakuomba ujitambulishe rasmi ili pamoja na HS pamoja na JM tuwape kura kuiongoza Tanzania, Tumechoka na Ufisadi na pia tumechoshwa na mafisadi. Hawa ndio dawa, na watakuwa mwiba kwa mafisadi tukiwapa mikono na mibaraka kuingoza taifa. Hatuna namna
mkuu hivi kweli watanzania tunaweza kumpa mtu nchi kisa tu anaandika sana ajarida na anauwezo wa kuchambua mambo ya siasa..Nchi sio kitu rahisi kuongoza...kama ni hivyo tu basi hata prof shivji anaweza kuwa rais.Semenya
Naona umejiandikia tuu angalau na wewe uonekane, hebu uongozi ni nini? si vema kumuhukumu mtu kwa hisia zako.
mzee nchi si blog au gazeti na si kwaajili wewe uliongea nao basi ndo wanawafikia kila mtu..wajionyeshe kwa watanzania takriban milioni 25/40 ambao wanaweza kuwa ndo wapiga kura..kiongozi wa nchi lazma awe na experience ya uongozi..hao akina JK walishaongoza sehem mbalimbali, angalau uwaziri...watu mkampa kura kwa vigezo mlivyotumia...so waambie wajitangaze tuwajue.Wakulu JF, salaam mbele sana
- Look here huu unafiki utatuua wa-Tanzania, tujifunze kuwa part of the solution badala ya kila siku kukazania kuwa part of the problem kwa sababu hatuwezi ku-make any progress needed as a nation na this kind of negative thinking,
- I mean kila siku tunalia hapa kwamba viongozi wengi tulionao hawafai, sasa here comes a suggestion kutoka kwa mwananchi mwenye uchungu na taifa lake, kwamba kwa maoni yake hao aliowataja anaamini kwamba wanaweza kulisaidia taifa letu kiuongozi, wakipewa nafasi na hasa za juu kwa uongozi wa taifa letu, huyu anajaribu kuwa part of the solution,
- Wanatokea the usuals, no progress no positive thinking, no nothing ila kubeza beza tu bila hoja, sometimes JF tunajishusha hadhi wenyewe, one day Mkulu Mwanakijiji ni semi-God, the next day hawezi kuwa kiongozi ni mchangiaji wa internent tu!, just nonesense at best. JF inapaswa kuwa ni taasisi ya ushauri wa bure kwa taifa letu, na sio siri we are very good at it sasa iweje tena members wa hii taasisi tusiwe na huo uwezo wa kuongoza hili taifa ambalo we are very good at analysing its core problems?
- Kuna mijitu inashauri eti weka CV zao hapa, hivi mna maana kwamba CV ya Kikwete na wenzake hazifahamiki? Sasa kama CV ni the naswer then kwa nini tumekwama as a nation? Kama CV ni the answer kwa nini tunalia hapa JF na viongozi wetu kila kukicha? Wakuu stop this madness, heshimu wanaokuzidi vipaji, heshimu wanaoukuzidi maarifa, wanaokuzidi uwezo wa kufikiri ndio the only way tunaweza kupata viongozi wanaotufaa kwa taifa letu!
- Sijui Cv za Mkulu Mwanakijiji na John Mashaka, lakini kwa maoni yao niliyowahi kuyasoma sehemu nyingi sana internent na magazetini, ninaamini they could do better to our nation than viongozi kama Kingunge, Mzindakaya, Lowassa, Karamagi, Mbowe, Lipumba, Mwakipesile, na wengineo wengi maviongozi magoi goi tuliojaza kwenye serikali yetu!
Go Mwanakijiji na John Mashaka!
Ahsante!
Ni Kutoka Kwangu:- William Malecela.
Baada ya kuwafunga kingine ni kipi utakachofanya?Mkitupa nchi sisi, tutawafunga wote hawa kuanzia Mkapa na genge lake na makuwadi wote wa ufisadi. Within a year kutakuwa na law and order katika taifa letu na watu wataogopa fedha za umma kama ukoma! Lakini upande mwingine, wenye CVs na uwezo wao kuongoza si ndio wako madarakani?
Tanzania haitaji mlolongo wa sifa zinahitaji watu wenye uwezo wa kuongoza na siyo wenye uwezo mkubwa wa kufuata!.
On the other hand, watu walipopewa uchaguzi kati ya Baraba na Yesu walimchagua nani na kwa nini?
ushauri wangu, Watanzania waendelee kuwakumbatia hao hao viongozi wao waliowazoea na wanaojua maana sisi wasiotujua tutakuwa kina Hugo Chavez, Ahmedinajad, na kina Obama wa kizazi kipya.
Hivyo, hapana nchi wapeni hao hao waendelee kutafuna hadi wakigusa mifupa ndio mtake kuwabadilisha!
Baada ya kuwafunga kingine ni kipi utakachofanya?
mkuu mipango mizuri sana, ila mda maana sidhani kama katiba inatengenezwa kwa miaka miwili mkuuNi mengi tu ambayo yanawezekana. Baadhi ya mambo ya kufanya baada ya mafanikio ya project-X:2010 ni haya:
a. Kuanzisha mchakato wa uandishi wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano na kuikamilisha ndani ya miaka miwili. Katiba hiyo:
- Itagawa madaraka kati ya Utendaji kati ya Rais na Waziri Mkuu
- Waziri Mkuu ataunda Baraza la Mawaziri litakalokubaliwa na Rais
- Tutatatua kero za Muungano kwa kurudi kwenye makubaliano ya Muungano ya 1964 (Articles of the Union) na kufanya mazungumzo mapya ya kuhakikisha serikali ya Tanganyika nayo inarudi (Serikali ya Tanganyika na ya Zanzibar zitaongozwa na Mawaziri Viongozi na serikali zao- Tanzania itakuwa na Rais Mmoja tu!)
- Tutapunguza wingi wa Wabunge na kuligawa Bunge sehemu mbili zinazosimamiana na hivyo kuwa na bicameral parliament (Seneti na Baraza la Wawakilishi)
- Tutaweka mipaka ya matumizi ya kinga ya Rais ili iwe rahisi kuivua kinga hiyo katika mazingira fulani fulani.
- Mawaziri hawatalazimishwa kutoka miongoni mwa wabunge.
b. Tutasitisha mikataba yote mikubwa ya madini na kuipitia upya na kukubaliana na wawekezaji upya. Mwekezaji ambaye hataki kukaa chini upya tutamsaidia kufunga virago vyake bila ya kumuomba msamaha! Tutaanza na Barricks na wenzake!
Tutahakikisha mikataba yote inayohusisha raslimali za taifa letu (madini, ardhi, mbuga n.k) inatajirisha kwanza kabisa (siyo pili au tatu) wana na mabinti wa taifa hili. Mwekezaji yoyote ambaye atataka yeye atajirike kwanza tutamtimua siku ya pili ya kutoa kauli hiyo! Hatuna kubembeleza mtu yeyote yule.
And you ask: "sasa wawekezaji wakikimbia si ndio nchi itakwama"? Hayo ni mawazo ya Kikwete ambayo hayamo katika fikra zangu!
c. Tutarudisha baadhi ya mashirika mikononi mwa serikali katika mtindo wa private-public management. Miongoni mwao ni pamoja na NBC, Simu, Umeme, n.k Details nyingine hapa ninaziweka kapuni.
d. Tutaiokoa TRL na kuirudisha kuwa TRC na kuhakikisha ndani ya mwaka mmoja shirika hili linajiendesha lenyewe likiwa na menejimenti ya Watanzania na likiwa ni shirika lenye huduma na uwezo wa hali ya juu kabisa ya kusafirisha abiria na mizigo. Blueprint ya mpango huu tayari imeshakimilika.
Hayo ni machache tu; mengine subiri the "Real Deal: Contract with Tanzanians" kama sehemu ya P-X:2010.
Change is coming.. be part of it au kaa pembeni!
Welcome to the real battle....Ni mengi tu ambayo yanawezekana. Baadhi ya mambo ya kufanya baada ya mafanikio ya project-X:2010 ni haya:

Ni mengi tu ambayo yanawezekana. Baadhi ya mambo ya kufanya baada ya mafanikio ya project-X:2010 ni haya:

Mkuu, nimependa mapendekezo yako, ila hapo kwenye kipengele "a" umezungumzia mabadiliko ya katiba kwa uhakika utadhani ukishaamua wewe basi wengine wote "Watasema zidumu fikra za Mwanakijiji" na kuafiki yote kama yalivyo..!!
kiongozi wa nchi lazma awe na experience ya uongozi..hao akina JK walishaongoza sehem mbalimbali, angalau uwaziri...watu mkampa kura kwa vigezo mlivyotumia...so waambie wajitangaze tuwajue.
Mkitupa nchi sisi, tutawafunga wote hawa kuanzia Mkapa na genge lake na makuwadi wote wa ufisadi. Within a year kutakuwa na law and order katika taifa letu na watu wataogopa fedha za umma kama ukoma! !
Ndugu Wadau, Nadhani muda unavyokwenda, nchi yetu inazidi kudidimia katika wimbi la ufukara. Nchi imekwisha na hali inazidi kutisha, hasa tukizingatia hali ya kisiasa na ya kiuchumi.
ila mda maana sidhani kama katiba inatengenezwa kwa miaka miwili mkuu