Nani zaidi kunako?

Nani zaidi kunako?

Status
Not open for further replies.

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
2,326
Reaction score
1,315
Wadau wa jukwaa pendwa la MMU!

1.Mwanamke mweusi VS Mwanamke mweupe
2.Mwanamme mweusi VS Mwanamme mweupe
3.Mwanamke mfupi VS Mwanamke mrefu
4.Mwanamme mnene VS Mwanamme mwembamba

Naamini mambo ya ku-do ni hisia binafsi za mhusika. Zina tofautiana kutoka mtu hadi mtu.
Sasa hapa kuna kajihoja fulani hivi kama title hapo juu inavyojieleza. Naombeni tuwe huru kujadiliana hili huku tukitanguliza mbele utu wa binadamu maana sote tunajua hakuna hata mmoja wetu aliyejiumba, bali sote tumeumbwa na Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo. Atukuzwe milele yote!

Je nani unahisia nae zaidi pale kunako? Kwa maneno mengine nani mtamu pale kunako?

Naomba kuwasilisha! UNDENIABLE
 
Last edited by a moderator:

Ebwana dah
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nkaepembeni bidae ntapta tena kuwajulia hali wapendwa wang
 
Mwanamke mwembamba mweupe(naturally ucwe wa dukan) ana raha zake jaman kwenye 6*6 uchoki
 
5.Mwanamke mwenye mzigo vs mwanamke asiye na mzigo.
Mwenye mzigo hana mpinzani.
 
Mwafrika vs Mzungu
Mhindi vs Mswahili
Mwaarabu vs Mzungu
Mnyamwezi vs Makonge
Mhaya vs Mchaga
Msukuma vs Mkuriya
 
Mwanamke Mnene tu ndio mpango mzima, weusi,weupe,warefu au wafupi vyote havina umuhimu na havijalishi.
 
mwanaume mweupe mrefu kidogo.sex body ndo mpango mzima sio mwembamba saana kama skeleton au mnene mpaka ye mwenyewe anashidwa kujibeba bana....ila pia inategemea na maujiz yake kunako area...
 
Kila mtu ana vigezo vyake katika kuangalia uzuri kwa sababu uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom